Telegram Chat with us
Telegram Chat with us
  • Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Haikuwa mara yao ya kwanza kuutenda ufidhuli huo. Nyakati za usiku ambapo watu hulaza vichwa vyao kupata lepe la usingizi ndipo Omari na wenzake huamka na kujikusanya. Wanaingia shambani mwa wenyewe, wanavuna mavuno manono kisha wanatoweka. Za arobaini kumbe zilikuwa zimefika. Mara hii ilikuwa iwe ya mwisho. Kuamka waliamka, mapema ajabu. Kuvuna walivuna mahindi takriban …

Haikuwa mara yao ya kwanza kuutenda ufidhuli huo. Nyakati za usiku ambapo watu hulaza vichwa vyao kupata lepe la usingizi ndipo Omari na wenzake huamka na kujikusanya. Wanaingia shambani mwa wenyewe, wanavuna mavuno manono kisha wanatoweka. Za arobaini kumbe zilikuwa zimefika. Mara hii ilikuwa iwe ya mwisho. Kuamka waliamka, mapema ajabu. Kuvuna walivuna mahindi takriban magunia thelathini. Wakayakusanya na kuyaweka tayari wapotee nayo kabla Mzee Kajembe hajaamka. Ila tu, walipoweka magunia mgongoni walishindwa kuyateremsha. Yalikwama. Wakang’ang’ana ila wapi.

Asubuhi Mzee Kajembe akapata mshtuko kuona mabarobaro wanne wanazunguka zunguka shamba lake, gunia mgongoni wameloa jasho mpaka kwenye ulimi. Akajua baasi, mtego aliouweka mwezi jana umenasa. Hakuwa na haraka. Akapikiwa chai, akanywa. Akachemshiwa maji, akayaoga. Akapigiwa simu na kakake, akashika. Wakaongea nusu saa, akacheka chekicheki. Halafu akaamua awaendee mahabusu wake huko shambani waliojaribu kumfunza funzo alilofunzwa mwaka jana. Akachukua kiboko kinono vizuri. Akawatandika vilivyo. Alitandika na mkono wa kulia ukachoka. Akaenda na wa kushoto mpaka pia yeye akaloweka jasho. Halafu akaenda akawaita rafiki zake waje washuhudie kazi ya Daktari wa kienyeji Dr mugwenu.

🌍 Discover the 15 Most Powerful African Spells — Free Download
⚠️ ATTENTION
📥 CLICK TO DOWNLOAD
15 Most Powerful African Spells That Can Change Your Life Forever

Wakashangaa alafu wakaduwaa. Akampigia Dr mugwenu kumwambia amewakamata wezi wa mahindi waliokuwa wanawahangaisha wakulima wa mahindi Kwale nzima. Wakajuta. Wakalipishwa faini ya kuondoa mzigo mgongoni na kupata afueni. Wakatoka aibu imewajaa, njaa imekithiri, maumivu mwilini na shilingi hawana. Wakakoma.
Kuanzia hio siku Omari na kundi lake wakabadili mienendo na kurudia kazi ya uvuvi baharini. Ya nchi kavu yamewashinda. Dr mugwenu amewaweza.

See also  The Mystery of Constant Money Problems – What You Are Not Seeing

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams.

For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: mugwenudoctors@gmail.com

admin

admin

Telegram Chat with us