“Nimehangaika Sana. Sina Bwana, Sina Mtoto Wala Sina Bahati” Mrembo Atoa Malalamishi Kilifi baada ya Upweke Kumlemea. Atasaidika??
[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=PfzX8cM60dU[/embedyt] Kadzo Barawa amejionea jinsi upweke unaeza fanya afya kudhoofika. Ingawaje urembo bado anao, mwili umekomaa na kwa kukosa ukuruba na joto la mwanamme,...






