Telegram Chat with us
Telegram Chat with us
  • Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Spellbound Chronicles

Home/Spellbound Chronicles
54 service placeholder

Tangu Hamisi arudi kutoka Vihiga, amejaa na ujasiri kupindukia. Juzi tu, aliwashangaza wengi baada ya wasichana watatu kupatana mlangoni kwake na ndondi kuzuka. Kila mmoja wao alijitambulisha kama mpenzi wake Hamisi. Majirani walijionea vituko, wanawake wakivuana nguo hadharani na kurushiana cheche za matusi. Hawajamaliza gumzo la tukio hilo, Hamisi akaonekana na mke wa Bakari wakijivinjari …

54 service placeholder

Kumbe wanaokaa katika ndoa kwa madhumuni ya kujinufaisha ni wengi. Kimeumana!! Baada ya Mahakama Kuu Kenya kutoa uamuzi kuwa wanandoa hawatagawa mali nusu bin nusu wakiachana na badala yake kila mchumba ataondoka na alichokileta mezani, ndoa zimeanza kuumbuka. Ripoti ya hivi majuzi inaonyesha takwimu za kutamausha. Wanawake ishirini na wanne wajitoa ndoani Kiambu baada ya …

54 service placeholder

Mimi ni mke wa watoto wawili mmoja akiwa kidato cha kwanza na wa pili anasoma darasa la saba kitongojini mwetu Mtwapa. Kwa majina naitwa mama Busara ambaye nilipatana na bwanagu huko Kenya alipokuwa akitafuta kazi na baada ya miaka tatu alinisafirisha hadi Tanzania Mtwapa ambako alinijengea nyumba na kuniambia nikae nyumbani nitulie sababu atkuwa akileta …

Comments are closed.

Telegram Chat with us