Siri Imetobolewa!!! Wanaosumbuliwa na Wachawi na Nguvu za Giza, Suluhisho Ndio Hii

  • CONTACT US:   |   |  
  •  

    Mzee Karisa ameyapitia, akayakuta, akayaona na akayaacha. Kwa muda mrefu Sasa, amekuwa mlevi kupindukia. Kila siku lazima abugie mnazi majegi matano ndio aone ako sawa.

    Utamkuta barabarani akiongea kwa sauti ya juu peke yake, akitusi watu wasiojulikana na kujipiga kifua kuwa hawamuwezi hata kidogo. Wengi wetu tunamuonea huruma kwani mwaka jana peke yake, alipoteza kazi yake katika serikali kama mhandisi mkuu, akampoteza Bibi yake Bi. Kache. Miezi michache baadaye kijana wake wa kutegemewa Charo aliyekuwa na kampuni ya ujenzi Kilifi pia aliaga na kuwaacha nyuma watoto watatu wakiwa bado wachanga. Dunia duara, lakini Mzee Karisa amekwishaamini dunia gunia tambara bovu.

    Watoto wake wengi waliosalia wanazunguka mchana kutwa wakitafuta vibarua kulimia watu mashamba, kazi za sulubu ambazo wakati Mzee Karisa alikuwa kazini, hawakuthubutu kuzifanya. Utamkuta Katana, mdogo wake Charo amerauka saa kumi na moja unusu jembe begani akielekea mashambani angalau asikose cha kupeleka chakula nyumbani. Wamekula maboga na mihogo kasoro ziwamee vichwani.

    Masaibu ya Mzee Karisa yaliletwa na uchawi na nguvu za giza alizokuwa akizitumia Mjombake aliyemchukia baba yao. Walipigania shamba miaka kadhaa iliyopita na babake Mzee Karisa akashinda. Alipofariki tu ndipo mjombake alitumia fursa hio na kuwarushia nguvu za giza zilizomuandama na kuyafanya maisha yake kuzorota. Watu wake muhimu wote wakafariki mmoja baada ya mwingine. Haya yalitobolewa na daktari wa kienyeji mashuhuri kutoka Vihiga aitwae Dr. Mugwenu. Katana alimpigia simu kutafuta usaidizi baada ya maisha kumlemea na kumfikisha mwisho. Alikuwa ameanza kutafakari kujiua.

    Dr. Mugwenu akamuelezea kuhusu ugomvi ulioko wa shamba, Katana akasema ni ukweli hilo lilitokea. Akamjuza kuhusu watu waliozikwa katika familia, Katana akatingiza kichwa na kusema ni kweli, wameenda mazishi mpaka wakachoka. Akatoboa Siri na kumwambia kuwa Mjomba wao ndiye chanzo Cha mateso. Aliwaroga mmoja baada ya mwingine na kuzifunga nyota zao. Daktari akamuahidi kuwa atamsaidia. Akafanya juhudi zake na kuwaondolea mashaka yote Kutokana na nguvu za giza na uchawi.

    READ ALSO  Woman Reads long list of married men she has messed

    Katana akashukuru na kujionea mambo yakibadikika. Akapata kazi na babake akaacha ulevi. Mjomba akapoteza akili na kuwa chizi. Nyota zikafunguka na kwa sasa wana biashara kubwa mjini Kilifi, maisha yameimarika na afya zao kunawiri. Daktari Mugwenu anajulikana kote Kilifi na viunga vyake kwa kazi yake mufti.

    Usihangaike na kuzungushwa na wachawi. Dr. Mugwenu ako na anapatikana kila siku kupitia nambari 0740637248, mpigie leo upate suluhisho uishi maisha yako bila uoga.

    MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

    He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: mugwenudoctors@gmail.com

     

       
       
       
       
       
     
    4.8
    Based on 19 reviews
    powered by Google
    robert dede
    07:23 28 Sep 24
    Good job. You helped me get my wife back.
    Margaret Wanjala
    12:58 26 Sep 24
    I am deeply appreciative of the time and resources dedicated to my case.thanks so much mugwenu doctors
    Humphry Kigika
    05:47 23 Sep 24
    Thank you Doctor, you helped me a lot, my wife came back with the children
    mlikanews
    05:32 23 Sep 24
    He helped me alot.i get back my stollen properties.thanks alot mugwenu doctors.
    Valerie Mulaa
    18:39 22 Sep 24
    Thanks for helping me get back my husband. i love him so much. he gives me money nowadays. asante sanaaa
    Silverstain Mukagwa
    07:36 22 Sep 24
    Hello Mugwenu Doctor, your spell worked like I really wanted. The ceremony I did was a great moment! I felt an incredible energy enveloping me when I did it! I can’t believe this really happened after all the bad experiences I had with spell casters. Thank you very much Mugwenu Doctors!” – Lorene vuguza
    Cynthia Mutindi
    06:48 22 Sep 24
    Thanks to Mugweno Doctors.You helped my father who was in ICU For 14 days without doctors finding any disease. now He is healed and healthy
    Chief Chief
    13:29 21 Sep 24
    I had given up on ever getting help, until someone recommended me to Daktari. Thank you for being there for people like us
    Nicholas Kavita
    09:51 20 Sep 24
    I had a great experience with Mugwenu Doctors. They are very professional and helpful. Their services were effective and delivered with care. Highly recommend to anyone seeking traditional healing methods. Five stars for their dedication!"
    js_loader

    SUGGESTED FOR YOU

    Shame!! Taxi Driver Busted Red Handed Doing This With Boss’s Wife In His Car Revealed!! If You Use This Trick For Seeking Justice, You Will Succeed Automatically “God Save Me, My Private Part Is Itching So Much & Burning, I Will Never Do It Again” Kampala City Tycoon Cries In Pain Attention Men!! Do This Immediately If Your Girlfriend Leaves You For Another Man, You Will Thank Me Later Top Secret!! See What You Should Do If You Wish To Stop Your Saudi Arabia Boss From Mistreating You

    READ OUR PRIVACY POLICY