KILA NYOTA NA TABIA YAKE KATIKA ULIMWENGU WA KIMAPENZI

  • CONTACT US:   |   |  
  •  

    Watu wengi huuliza kuhusu kuendana kwa nyota na kuogopa huenda mahusiano ya nyota zisizoendana kuwa hayatodumu. Nimeamua kuwaandikia hili chapisho ili ulinganishe mwenyewe uone nini kimekosekana au chakuongezea ili muwe sambamba. Ni furaha yangu kwenu kwamba mtaelewa ni nini mnapaswa kufanya.

    NYOTA_YA_PUNDA
    Ni mtu mwenye msukumo. Hutenda jambo na kufikiria baadae. Hupenda changamoto,enye hamu na vichaa wa matukio. Huenda moja kwa moja na wanapenda kushinda . Hawapokei ushauri vizuri kwahiyo kwepa hili Kama hutaki migogoro nao. Kama unauwezo wa kuyajaza maisha yako hisia, unaweza kuwa na mahusiano yenye nguvu na watu wenye nyota hii.

    NYOTA_YA_NG’OMBE
    Ni watu wenye moyo wa ukarimu ingawaje wanaweza kuwa na wivu na kutochukua.Ukiwa na mtazamo wa utulivu na ucheshi na kutowapa presha kuhusiana na maswala ya mapenzi, kwasababu hawapendi kuwa na mawazo na haraka. Hawapendi mabadiliko ya ghafla, hivyo hujipatia mpenzi Katika mzunguko wao wa karibu. Wanapenda kupokea zawad na kushirikiana kimawazo mipango yao tofauti tofauti, na hili Ni jambo la furaha Sana kwao. Ili kuhusiana nao kuwa mtu wa vitendo utawafanya wakuone kuwa muaminifu,mtiifu na kutamanisha. Ukitaka kuendana nae vyema maishani bhas ifuate akili take.

    NYOTA_YA_MAPACHA
    Hugundulika kwa utu wao Mara mbili. Wakizikataa hisia na hali za kimahaba. Kama hutowapa kipaumbele na kuamua kuanza shughuli zako nyingine huboreka (huchoka) haraka Sana. Kama ukifanikiwa kuwashawishi watakufuata milele. Wanapenda majadiliano na mikutano, kupokea zawad na misaada.

    NYOTA_YA_KAA
    Ni wapenzi wenye Hari katika familia zao. Huishi maisha yao kwa uaminifu na utiifu. Kuna mda huwa wagumu (wanamudi mbaya yenye nguvu Sana), pia huwa nyororo, hali inayowafanya wasitabirike katika jambo flani. Ni watendaji, wanahisia,wapenda Sanaa. Ni wabunifu. Ni muhimu kuwachochea na kuwaridhisha njaa yao ya kisanii.

    READ ALSO  After seeing my car, she wants me back. I just work online

    #NYOTA_YA_SIMBA
    Watu wenye hamu/shauku,kujiamini,na walionyooka katika kuonyesha hisia zao. Ni waaminifu kwa wapenzi wao, ingawa sio waaminifu kwa hali ya juu katika alama za kinyota. Hufurahia kuongoza ,kujisifu na kuongoza mahusiano yao. Kama wakikupuuza na kusumbua usibishane nao au kuwafikiria vibaya.

    #NYOTA_YA_MASHUKE
    Wanajua kupenda na wanapenda kusikia wanahitajika. Sio wenye hamu/shauku Ila Ni wapenzi wazuri. Wanapenda kuishi maisha yao katika mipangilio. Wanapenda usalama na kutoyumbishwa. Ukitaka kumpata sharti uwe bora na wathamani kulingana nae.kupendeza,kumpatia zawad, kuonyesha ubora na ladha ya uzuri wako kitu ambacho wanathamini Sana.

    #NYOTA_YA_MIZANI
    Ni watu wanaoangalia usawa, maelewano na mahusiano yatakayowapa utulivu wanaoutaka wao. Wanapenda kukaa vikundi na hao watakao wasapoti(kuwatia nguvu)na kuwaelewa. Ni wadadisi na wenye mahaba viwango viwili ambavyo unaweza ukawashangaza. Wanapenda maongezi mazuri ambayo yatashibisha vitabu vyao na kitu kingine cha kisanaa anachokipendelea. Ni wakimya na wavumilivu Katika kuzifuata dosari za wapenzi wao. Ni wacheshi wanaladha nzuri au ubora , hasaa fahari na vitu vizuri maishani.

    #NYOTA_YA_NG’E
    Watu wenye hisia Kali,hamu na kutamanika. Wivu Kama ukiwapa sababu za kuwakera. Mahusiano na urafiki na wapenzi wao Ni kitu muhimu. Wanapenda uaminifu,kunyooka, wanapenda watu wazuri (smart). Kama ukimpata bhas utakua umempata mtu mwaminifu na mkweli milele.

    #NYOTA_YA_MSHALE
    Watu wenye hamu aushauku,kujielezea na dhati. Kama wakipata mahusiano mazuri huwa wazuri, ingawa haitokuwa rahisi kupunguza matukio yao na Uhuru. Usimkataze bali mpe nafasi anayoihitaji, ili kuiondosha hasira yao mbaya. Kama ukiwasaliti wanaweza kufanya vitu vya ukichaa. S*x na kupenda vimeunganika kwao, Ingawa pia wanapenda ucheshi.

    #NYOTA_YA_MBUZI
    Huchukulia mahusiano Kama jambo rahisi, taratibu na kuangalia usalama wa hatua zao.
    Huwawia vigumu kuzieleza hisia zao, huzihifadhi na pia wanatamaa kidogo. Kama ukimpatia usawa katika maisha yao utawafanya waweke wazi walioyaficha. Wanamamlaka na wanataka kila kitu kikae chini yao. Kuwa mvumilivu na makini Kama unahitaji kumpata mtu huyu.

    READ ALSO  Trained Female Teacher who has been unemployed for 8 years speaks

    #NYOTA_YA_NDOO
    Ni watu wasio tabirika kwa muda,ingawa wanapendeka,wasomi na wanaopenda undugu na wengne. Ni vigumu kupenyeza katika hisia zao. Wanahitaji muda wakutosha wakuweka wazi mambo yake na kumwamini mtu. Ni bora kumpata katika njia nyingine kulikoni kielimu na ubora. Wanapenda ukweli na uaminifu, kitu ambacho ni ufunguo wa kila sehemu ya mahusiano. Huchukia kweli kweli Ni watu wasio samehea uzinzi(ukafiri).

    #NYOTA_YA_SAMAKI
    Watu wenye mahaba. Wanapendwa,wakarimu, wanahisia za ndani na shauku tulivu. Ndoa Ni bora kuliko mahusiano ya kimapenzi. Sio watu wa usiku mmoja (one-night stand), Wala mahusiano ya muda mfupi. Kama unataka mahusiano nae lazma umpeleke mpaka ardhini kwa mafumbo na kumuondoa katika mantiki. Ni watu wenye msisitizo. Hivyo kama unataka kumpata kubaliana na jukumu la kuwa mwadhirika wa mpenzi yake ili kumpa msisitizo ili akupatie nafasi

       
       
       
       
       
     
    Mugwenu doctors
    4.8
    Based on 19 reviews
    powered by Google
    robert dederobert dede
    07:23 28 Sep 24
    Good job. You helped me get my wife back.
    Margaret WanjalaMargaret Wanjala
    12:58 26 Sep 24
    I am deeply appreciative of the time and resources dedicated to my case.thanks so much mugwenu doctors
    Humphry KigikaHumphry Kigika
    05:47 23 Sep 24
    Thank you Doctor, you helped me a lot, my wife came back with the children
    mlikanewsmlikanews
    05:32 23 Sep 24
    He helped me alot.i get back my stollen properties.thanks alot mugwenu doctors.
    Valerie MulaaValerie Mulaa
    18:39 22 Sep 24
    Thanks for helping me get back my husband. i love him so much. he gives me money nowadays. asante sanaaa
    Silverstain MukagwaSilverstain Mukagwa
    07:36 22 Sep 24
    Hello Mugwenu Doctor, your spell worked like I really wanted. The ceremony I did was a great moment! I felt an incredible energy enveloping me when I did it! I can’t believe this really happened after all the bad experiences I had with spell casters. Thank you very much Mugwenu Doctors!” – Lorene vuguza
    Cynthia MutindiCynthia Mutindi
    06:48 22 Sep 24
    Thanks to Mugweno Doctors.You helped my father who was in ICU For 14 days without doctors finding any disease. now He is healed and healthy
    Chief ChiefChief Chief
    13:29 21 Sep 24
    I had given up on ever getting help, until someone recommended me to Daktari. Thank you for being there for people like us
    Nicholas KavitaNicholas Kavita
    09:51 20 Sep 24
    I had a great experience with Mugwenu Doctors. They are very professional and helpful. Their services were effective and delivered with care. Highly recommend to anyone seeking traditional healing methods. Five stars for their dedication!"
    js_loader

    SUGGESTED FOR YOU

    Revealed!! See The Easiest Thing To Do To Protect Your Property From Thieves Man Teaches Her Girlfriend a Life Lesson After Stealing His Car Unnoticingly as New Details Emerge Aliingiza yote nikiona, Painful Moments As Kenyan Man Reveals Shocking Details of What Happened After He Left His Wife For Work Far From Home My Best Christmas Gift Presented Was To Get Back My Lost Lover, My Wife is Back And I am Really Enjoying Man says his life was in danger but had life protection spells from this man

    READ OUR PRIVACY POLICY