Kuna vifungo vya aina nyingi kulingana na milango ya riziki ya mwanaadamu. Mungu alipokuumba alikukadiria riziki zako za kipato tunauita mlango wa mali chumo au kipato. Kuna ruziki za ndoa huitwa mlango wa mapenzi, kuna riziki za uzazi nk.
Wapo walioruzukiwa mali wakanyimwa kizazi, wapo waliopewa kizazi wakanyimwa mali wapo waliopewa vyote wakanyimwa busara wapo walionyimwa vyote wakapewa akili.
Tukiachana na mipango ya mungu wapo waanaadamu wanaingilia kazi ya mwenyezi mungu ikiwa ni pamoja na kuziba riziki za wenzao kwa lengo la kuwakomoa. Leo nitazungumzia dalili na ndoto za mtu aliyefungwa nyota yake na wanaadamu.
Kuna vifungo vya mali vifungo ndoa mapenzi elimu uzazi hedhi kazi nk. Mfano kindoa unaweza ukawa unachumbiwa lakini waume hawarudi na ukijiangalia umekamilika vizur una sifa zote za kuwa mke lakini unaishiwa kuchezewa na ahadi kuwa nyingi ni moja y ishara ya kifungo cha ndoa, kwa mwanaume kila utakapotaka kutia nia ya ndoa basi moyo hinyongea na hata kwenye mahusiano hulega kila sku ugomvi na hakuna maelewano yaliyosawa.
Vifungo vya uzazi hivi huwapata hasa wanawake ingawa pia kwa wanaume huwatokea mara kadhaa. Umeolewa umefikisha umri wa kuzaa na jimai unafanya kama kawaida lakn hupati mimba. Umepima hospital zote umekunywa madawa mengi bado hali haijakaa sawa yaweza ikawa kifungo cha mimba watu wamekufunga ili usizae au wakat mwingine mimba hutunga ila wanazila kabla wewe hujajisikia chochote.
Kama yuwapata mimba zikakaaa kisha zikatoka hilo ni jambo jengine yaweza ikawa jini mahaba jini pakuzi au mlegeo wa mfuko wa uzazi hima jambo jengine.
Elimu unaweza ukawa na akili nying ukaongoza darasa ila ukaja ukafer mtihan wa mwisho. Au wengine sku ya mtihan apata ugonjwa wakutoona maandishi kwenye karatas wakat mwingine mtu huwa kichaa kabisa. Kuhusu kazi unaweza ukawa una vigezo vyote vya kupata kazi lakini ukakuta wanapata kazi watu ambao hawakupat hata robo kielimu wala experience kila unapopita wagunwa.
Hedhi wanafunga kabisa ile damu huioni yaani upo tu na unaitwa mwanamke kwakuwa una jinsia ya kike lakini ile ada ya kike huion huyu hata kuzaa ni mtihan na hapa watu wengi hujifunga wenyewe kwa kutokujua. Mfano wa dada wa sasa hv akiwa period anavaa ped akiivua anaitia kwenye ndoo ya taka ile ndoo unaifunika kaja mbeba taka umempa ile ndoo bila kuifungua na yeye akaenda kutupa pasina kuifungua umejifunga mwenyewe hedhi hakuna uchaw hapo.
Ishara na dalili zake watu wenye vifungo unaomba kazi hupati ahad nyingi zisizotimia, dharau mpaka na watu uliowazidi umri. Wachumba wanakuja hawarud au hupati kabisa hata wakukupa salamu. Uzazi kuwa mgumu umekunywa dawa zote lakini bado hupati hedhi kabisa. Una elimu au akili kubwa unachukia shule au chuo.
Ndoto zake kuota upo kizani, kuota vizuizi kama ukuta mrefu unakimbia na wenzio wanavuka sehem wewe unashindwa kuvuka, kuachwa na usafiri mara kwa mara. Ndoto za shulr unafanya mitihan mgumu umechelewa shule unachapwa shule umafungwa jela. Kuota kijijini kwenu wakati wewe umeondoka kitambo kuota umerejea utoto au mitaa uliokaa utotoni
Wanafunga kwa kutumia mwanasesere, mate, damu ya hedhi nyota yako nywele kucha nk. Nimejitahd kufupisha maelezo maana ni mada pana sana. Jitahdi kusoma hata mara mbili ikiwa hujaelewa vizuri.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com