. . .
  • Location: Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda | Working Hours: Mon - Fri (From 9:00 AM to 6:00 PM) | Consultation Fee: $19 or Ksh 1,850
  • 0740637248
  • Location: Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda | Working Hours: Mon - Fri (From 9:00 AM to 6:00 PM) | Consultation Fee: $19 or Ksh 1,850
  • 0740637248

KABICHI NI DAWA-Jinsi ya kutumia kabichi kama dawa

Kabichi ni mboga ya majani na unaweza ukala pekeyake, asili ya mboga hii ni bara la Ulaya na inakadiriwa ilianza kutumiwa na binadamu tangu miaka ya 100 kabla ya kristo.

Kabichi hufanya kazi ya kupunguza kiasi cha sukari mwilini, huboresha afya ya moyo na macho, hutibu matatizo ya choo kigumu na husaidia kupona haraka kwa vidonda.

Vilevile husaidia kupunguza uzito wa mwili kwa watu walio na uzito uliozidi pamoja na kuharibu sumu zinazoua seli za mwili.

Inaweza kutumika kama tiba asili kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo, juisi yake pamoja na kuwa na aina nyingine za virutubisho muhimu pia ina viambata muhimu vinavyosaidia kuponya majeraha ya vidonda vya tumbo.

Juisi yake ambayo inatokana na maji yake yaliyochemshwa ina vitamini U ambayo inashauriwa kunywa mara mbili kwa siku.

Mboga hii pia ina vitamini K ambayo inasaidia damu kuganda endapo mtu akapata jeraha.

Imeelezwa kuwa kipande kidogo tu cha kabichi kinatosha kuongeza zaidi ya microgram 38.2 za vitamini K, hivyo basi kwa mtu ambaye damu yake akipata jeraha haigandi kwa wastani wa muda wa dakika tatu anashauriwa kuanza kula kabeji.

READ ALSO
IJUE SIRI YA MIFUPA YA PAKA MWEUSI DHIDI YA WACHAWI

Wachawi humtumia sana paka wanapotaka kutuma jini kwa mtu. Jini akitumwa kwa mtu hutumiwa zaidi paka au panya, myama huyo Read more

ZIJUE SERIKALI ZA MAJINI NA KAZI ZAO

LUCIFUGE ROFOCALE : Huyu ni Waziri Mkuu (Prime Minister) SATANACHIA : Amiri Jeshi Mkuu (Commander-in-Chief) AGALIAREPT : Kamanda wa Majeshi FLEURETY : Luteni Read more

Wanawake pekee ndo wenye hili vunzo la leo

wanaoumwa matumbo ya chango wanaotafuta watoto aidha walitumia njia zauzazi wampango walipoacha hawakushika mimba mpakasa Matumizi Jani lakwanza linaitwa. Mzungwa..matumizi Read more

Jadi: Hili ni Jini Lipi na Lina Adhiri Vipi Maisha ya Binadamu, Giza Limekwisha Tokomea na Huu Ndio Wakati wa Kujua Ukweli

Ni aina ya majini ambayo huleta athari za kiafya na kimaendeleo katika mwili wa mwanadamu,  ila utajuaje kua umeathirika na Read more

Hali kadhalika majani ya kabichi huwa na kemikali zinazoitwa glucosinolate ambazo huondoa uvimbe na maumivu ya matiti ambayo huwapata hasa wanawake wanao nyonyesha, waliomaliza na wasichana wadogo ambao kwa mara kadhaa huvimba.

Inashauriwa kuyaweka majani ya kabichi kwenye moto, yakichemka jikande kwa dakika 5 mara mbili kwa siku hadi pale tatizo litakapo malizika..Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

TAGS CLOUD

#HEALERBABIESBEDROOMBetrayalBETTINGBETTING LUCKBIRTHBOYFRIENDBRAND NAMEBUSINESSBusiness SolutionsCAMPUSCAR THIEF CAUGHTCEOCHASED WOMANCHEATINGCHEATING HUSBANDCHEATING IN MARRIAGECHEATING MANCHEATING MENCHEATING MOTHERCHEATING PASTORCHEATING SISTERCHEATING SPOUSECHEATING TEACHERCHEATING WIFECHEATING WOMANCHILDLESSNESCHILDRENCLEANERCONEDConmen SolutionsCOUPLES CHEATINGDADDawa Ya Mpango Ya KandoDEVORCEDEVORCEDdivorceDoctor MugwenuDOLLARSDR. MUGWENUDRAMA THIEVESDRUGSDUMPEDEATING GRASSEDUCATIONEJACULATIONEmploymentENGAGEMENTEXCHANGEfaithfullnessfaithfulnessfaithfulness spellfameFAMILYFINANCE SPELLSFIND A MANFind a SponsorFIVE ROUNDSFOREX TRADEGHOSTGIRLFRIENDGRADUATEHEALEDHealingHEALTHHerbalistHIVHOUSE HELPHUSBANDHUSBAND SNATCHERHUSBANDSJACKPOTJOBJOB SOLUTIONSJOBLESSNESSJobs LuckJOURNALISTJubilee PartyKDF RecruitmentLADYLADY MARRIAGELAND MATTERSLand SolutionsLEARNINGLIFELife IssuesLOSTLOST AND FOUNDLottery WinningLoveLove DoctorLOVE ISSUESLOVE SPELLSlove sweeteningLove Sweetening CandleLove TriangleLOVERSLUCKMAD MANMAD WOMANMagic RingsMANHOODMARRIAGEMARRIAGE CHEATINGMarriage IssuesMarriage ProblemsMarriage SolutionsMarriage SpellsMARRIED HERMARRIED WIFE CHEATINGMARRIED WOMANMARRIIED WITH KIDSMARRYMONEYMONEY LOSTMONEY SENDINGMoney SolutionsMoney SpellsMONEY WINNINGMpango Wa KandoMPNEYMUGWENUMugwenu DoctirsMugwenu DoctorsMugwenu DoctortsMugwenu DoctosrMugwenu DotorsMugwenu SolutionsMUGWENU SPELLSmugwenudoctorsMUSICIANMY DAUGHTERMY GIRLFRIENDMY HUSBANDMY WIFENEED MANONLINEONLINE WORKPANTIESPARTNERpolitical spellPolitical SpellsPoliticiansPOOR MANPOVERTYPREGNANTProblem SolverRECOVERYRELATIONSHIPRELATIONSHIP CHEATINGRelationship SolutionsrevengeRevenge SolutionsRICHRICH BOYRICH MANRICH WOMANRICH YOUNG MANRICHESRICHES GAMBLINGROBBERSRUN A SHOPSATISFY WOMANSCHOOLSecurity IssuesSEDUCINGSEXSEX IN MARRIAGESEX LIFESEX URGESHE REJECTED MEslay quuenSLAYQUEENSSNATCHERSNATCHING HUSBANDsocial mediaSPELLSPELL BOOKSpell CasterspellcasterSPELLSSPONSORSSTEALINGSTOLLENSTUCKsuccessSUGAR MUMMYTHIEFTHIEVESTHIEVES CAUGHTTHUGSTraditional DoctorsTraditional HealerTraditional HealingTraditional Herbalist in KenyaTREATEDTROUBLED MARRIAGEVIRGINWATCHMANWEALTHWEIGHTWEIGHT LOSSWhite MagicWHITE SPELLSWIFEWIFE CAUGHTwinWin ElectionsWin Lotterywinning lotteryWITCHWITCHCRAFTWOMANWOMEN FIGHTINGWORKWRONG MPESAYOUNG CEO

Call-WhatsApp Dr Mugwenu now for help

X