Hii ni kuijua nyota yako kwa njia ya tarehe na ndo sahihi kuliko njia zingine maana katika jina unaweza kukosea herufi na ikakuletea nyota tofauti.
Japo nyota zote utakazofata zinafaa kwa matumizi kutokana na maelekezo utakayopata kutoka kwa mtaalamu anayejua.
Nyota itakusaidia kuweza kujua mpenzi au MTU anayekufaa kuanzisha naye mahusiano, siku nzuri ya kuanzisha biashara, kazi inayokufaa kinyota nk.
TAREHE 21 – 03 HADI 22 – 04 PUNDA
TAREHE 22 – 04 HADI 21 – 05 NG’OMBE
TAREHE 22 – 05 HADI 20 – 06 MAPACHA
TAREHE 21 – 06 HADI 22 – 07 KAA
TAREHE 21 – 07 HADI 22 – 08 SIMBA
TAREHE 23 – 08 HADI 22 – 09 MASHUKE
TAREHE 23 – 09 HADI 22 – 10 MIZANI
TAREHE 23 – 10 HADI 21 – 11 NGE
TAREHE 23 – 11 HADI 21 – 12 MSHARE
TAREHE 22 – 12 HADI 21 – 01 MBUZI
TAREHE 22 – 01 HADI 19 – 02 NDOO
TAREHE 20 – 02 HADI 20 – 03 SAMAKI
Jinsi ya kuijua nyota kwa kutumia jina lako kamili
Chukua jina lako na la mama na ugawanye kwa 12 kisha ukipata jibu hiyo ndo nyota yako kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa.
Ikibaki moja ni punda.
Ikibaki mbili ni ng,ombe.
Ikibaki tatu ni mapacha.
Ikibaki nne ni kaa.
Ikibaki tano ni simba.
Ikibaki sita ni mashuke .
Ikibaki saba ni mizani .
Ikibaki nane ni nge.
Ikibaki tisa ni mshale.
Ikibaki kumi ni mbuzi.
Ikibaki kumi na moja ni ndoo.
Ikibaki kumi na mbili ni samaki.
Asili ya nyota
Punda = moto.
Ng’ombe = udongo
Mapacha = upepo.
Kaa = maji.
Simba = moto
Mashuke = udongo
Mizani = upepo.
Nge = maji
Mshale = moto.
Mbuzi = udongo.
Ndoo = upepo
Samaki = maji.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com