Ni aina ya majini ambayo huleta athari za kiafya na kimaendeleo katika mwili wa mwanadamu, ila utajuaje kua umeathirika na jini wa aina hii
DALILI ZAKE
Kulala na kuota unazikwa.
Kuota misiba mara kwa mara.
Babu au bibi mmoja mmoja wao alikuwa mchawi ndo maana unasumbuliwa.
Waganga watasema kuwa una mizimu ya kwenu inakusumbua.
Unakua na chale ndogo ndogo kwenye uso ambapo huwezi kupona mpaka chale hizo za wachawi kufutwa na kumuondoa jini huyo.
Ukiwa mwenyewe chumbani unaghisi kuna mtu anakufata na unasikia nyayo zikikukaribia ila huoni mtu unapogeuka kuangalia.
MADHARA YATOKANAYO NA JINI HUYO
Pesa kupotea katika mazingira ya ajabu [ chuma ulete ]
kivuli chako kutumika kulogea
Kua na asili ya uganga wa jadi
Kufanywa msukule
MSAADA WA HARAKA
Andika bismillahi rahman rahim بسم الله الرحمن الرحيم mara 35, uweke chini ya mto wakati wa kulala, itatuliza tatizo ila hujatibu tatizo, kutibu inabidi upate tiba
.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com