• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Asiye na wake aelekee jiwe. Jane Leperet Maiyan alikuwa amekata tamaa kabisa kwamba Josephat Ole Meripet atakuwa wake. Akipatana naye anamsalimia kwa heshima, anarembua macho, anacheka cheka na kumguza guza mabega ilimradi ajionee kuwa amemteka mawazo. Lakini wapi. Josephat hakupania kuyaona hayo. Jane akashikwa na hamaki na hatimaye akamuitisha nambari ya simu. Akawa anamtumia jumbe …

Asiye na wake aelekee jiwe. Jane Leperet Maiyan alikuwa amekata tamaa kabisa kwamba Josephat Ole Meripet atakuwa wake. Akipatana naye anamsalimia kwa heshima, anarembua macho, anacheka cheka na kumguza guza mabega ilimradi ajionee kuwa amemteka mawazo. Lakini wapi. Josephat hakupania kuyaona hayo. Jane akashikwa na hamaki na hatimaye akamuitisha nambari ya simu. Akawa anamtumia jumbe fupi fupi za utani Whatsapp, huku akimuuliza tumaswali twa kumsoma kama ana hisia za kimapenzi kwake. Puuuuu. Hakuna alama wala dalili yoyote ya kumpa Jane afueni na kumuondolea dukuduku moyoni. Ama anaringa?? Kwani anajiona aje asali?? Niachane na yeye?? Jane alijiuliza maswali chungu mnzima. Kwa kweli alikwishampenda Josephat, lakini akimuambia waziwazi, atamuona kahaba ama changundoa.

Siku ya kwanza Jane kumuona Josephat alizubaa, hadi akateguka na kuanguka. Kidogo avunjike ulimi. Alikuwa ametoka kumsalimia rafikiye Mary aliyeishi dakika chache kutoka nyumbani kwao. Josephat alikuwa mgeni jijini Narok baada ya kuletwa huku kikazi katika Supermarket ya Quickmart. Tangu hiyo siku, Jane alijiambia kimoyomoyo “huyu ndiye atakayenioa, la sivyo nitajiunga na kanisa nisioleke wala kuzaa”.
Miezi sita Sasa imepita, bila ya hatua yoyote muhimu kuchukuliwa. Wanaomtaka Jane ni wengi, lakini wote amewakataa. Anayemtaka yeye, anamuona takataka. Ama pengine Josephat ni kiziwi, haoni?? Ama ana mke tayari?? Akilala usiku anamuota, anaota anamuita. Akiitika hasemi kitu. Mara nyingine anaota wanatembea wameshikana mikono, ama anambusu wakichekeshana.

Akiamka, anajikuta peke yake, magwanda yake yapo mwilini na moyo unamdunda.

Jane akachoka kutamani. Kumtamani mtu mwenziye mwenye hisia fiche. Akamueleza rafiki yake Mary ambaye kipindi kile alikuwa ashapata janadume chapakazi linamshughulikia. Akamueleza Jane jinsi ya kuvuta mpenzi na kumteka mawazo kutumia nguvu tajika za daktari wa kienyeji aitwae Dr. Mugwenu. Jane hakungoja jogoo liwike. Akampigia Daktari Mugwenu haraka na kumpa jukumu la kuhakikisha amempata Josephat. Akapata matibabu yake yanayojulikana kuwa hakiki na yenye nguvu kwelikweli. Hatimaye, Jane na Josephat wakawa kitu kimoja, chanda na pete, shilingi kwa ya pili, tende na halua. Harusi tunayo hatunayo??

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]

admin

admin