Stephen Mutunge, mwanafunzi wa Pwani University aliwashangaza marafiki zake baada ya kumtupia mistari Magdalene Mudzomba, aliyemzidi miaka mara dufu. Magdalene alikuwa Mama ntilie pembezoni mwa barabara, akiuzia wanafunzi chakula kwa bei ya rejareja. Wanafunzi wengi walimjua na kumsifu Magdalene, wakimuita Mathee Kama heshima kwa umri wake. Kila siku majioni, kibanda cha Magdalene kinafurika wanafunzi wanaotaka …
Stephen Mutunge, mwanafunzi wa Pwani University aliwashangaza marafiki zake baada ya kumtupia mistari Magdalene Mudzomba, aliyemzidi miaka mara dufu. Magdalene alikuwa Mama ntilie pembezoni mwa barabara, akiuzia wanafunzi chakula kwa bei ya rejareja. Wanafunzi wengi walimjua na kumsifu Magdalene, wakimuita Mathee Kama heshima kwa umri wake. Kila siku majioni, kibanda cha Magdalene kinafurika wanafunzi wanaotaka kushiba kwa kutumia shilingi hamsini pekee. Chapati na maharagwe, Ugali mboga na Pilau mchina zilikuwa bidhaa zilizovuma, zinazoshibisha na kuhakikisha kuwa hata aliye na shilingi ishirini pia hatangurumwa na tumbo.
Wakati wengine walitamani chakula, Stephen alitamani kumla mpishi. Alikuwa akimmezea mate Magdalene na juhudi zake za kuficha hisia zake zikadidimia polepole hadi zikatoweka. Akatoka chumbani mwake Ijumaa hiyo na kuamua kuenda kumtamkia wazi wazi anavyohisi kila amuonapo. Baadaye akamueleza rafiki yake Samson, ambaye kwanza alicheka akidhani anamtania.
Magdalene alimkataa. Kwanza alimsuta na kumuita “shetani baradhuli asiye na muelekeo” na kumuonya atafute wasichana wa umri wake awatongoze. Vikishindikana atamsaidia kumtongozea. Samson akashangaa kumkuta Stephen akihuzunika eti kipenzi cha roho yake kimejitenga naye. Akajaribu kumpa wosia aachane naye atafute vidoshi waliosoma nao Pwani University, wachanga, wachangamfu na wachafuzi wa mazingira kutumia urembo. Stephen hakutaka kusikia la mwadhini wala la mteka maji msikitini. Alikwamilia wazo lake geni la kutaka mahusiano na mwanamke aliyekomaa.
Samson alipoona Stephen ameanza kukonda, akampa nambari ya Dr. Mugwenu, Mganga tajika kutoka Vihiga anayejulikana kwa umahiri wake wa kuleta suluhu. Samson mwenyewe alishawahi tumia nguvu za Dr. Mugwenu kujinyakulia malaika mwenye umbo la kuvutia Valentine. Stephen akatabasamu baada ya kupata usaidizi wa Dr. Mugwenu, uliomfanya Magdalene kumtazama kwa macho ya huba na mahaba. Akashinda kesi. Akafanya upesi kumkumbatia. Mapenzi yao yanaendelea kuzua ubishi na mshangao kote Kilifi lakini Stephen hataki kujua, ameshikwa akashikamana.
MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.
He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]