• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Adui muombee njaa ama um-bomolee paa la nyumba. Mashemeji wengine visirani kweli. Kumbe shemeji yangu Rajabu hanitakii mazuri. Niligundua ana mpango wa kusambaratisha ndoa yangu na Kakake Baraka. Akiniona nimeng'aa analeta fitina na hiyana, eti tumekopa pesa. Tukila vizuri, ni pesa za siasa. Mwanaume mzima na ndevu zake lakini ana ulimi mchafu, roho nyeusi na …

Adui muombee njaa ama um-bomolee paa la nyumba. Mashemeji wengine visirani kweli. Kumbe shemeji yangu Rajabu hanitakii mazuri. Niligundua ana mpango wa kusambaratisha ndoa yangu na Kakake Baraka. Akiniona nimeng’aa analeta fitina na hiyana, eti tumekopa pesa. Tukila vizuri, ni pesa za siasa.

Mwanaume mzima na ndevu zake lakini ana ulimi mchafu, roho nyeusi na akili punguwani. Simpendi hata kidogo. Muda mrefu nimejaribu kujipendekeza kwake, vikashindikana. Kwanza alinitongoza nikamkataa. Hana haya wala aibu. Kakake akijua atamchinja mchana peupe autupe mzoga wake jaani. Ila amekataa kukoma, anashinda amezua cheche eti mie kicheche simfai kakake.

“Mkeo hajui kupika. Jana ametengeza sima akaitia chumvi na mdalasini, hata haikuwa na ladha wala haikuiva. Nimetapika karibu waniokote. Halafu hana shepu, ukimuona utadhani anakuja kumbe anaenda zake. Uliona nini kwake hadi ukamtolea posa?? Afadhali ng’ombe ulizotoa zingebaki zingetufaidi maziwa” alipayuka karibu kila siku akijaribu kuniharibia jina na kunifanya nionekane mpungufu.

Juhudi zake zilichukua mkondo mpya juma lililopita. Alikuja jioni na kuanza kulia akijigaragaza mchangani eti nimemroga. Majirani nao wakatoka nje kujionea vioja. Akadai eti nimeenda kijiweni na kumfanya akose kazi aliyotarajia kuipata. Kazi amekosa, lawama kanitupia mie. Sikutaka maneno naye, maana nimechoka. Mume wangu alirudi kutoka kazini na kumpata bado akijililia kama mtoto chini. Nilingojea aniulize kama ni kweli nimemroga, kwa bahati nzuri ama mbaya hakuuliza. Nilikuwa nishampangia maneno makali ya kumtupia. Ningemjua mganga ama hata mchawi Rajabu angekuwa amerukwa na akili kitambo.

Hapakuwa na kesi, lakini alinikasirisha. Nikamtafuta Maimuna rafiki yangu wa jadi kulalama. Akanipa ushauri nimpigie daktari wa kienyeji aitwae Dr. Mugwenu nilimalize tatizo hilo la kutokuwa na amani katika ndoa yangu. Sikungoja kitumbua kiingie mchanga. Dr. Mugwenu akanieleza kuwa watu kama hao wapo, wasiopenda kuona watu wakivuna matunda ya juhudi zao. Rajabu alikuwa mmoja wa mahasidi wasiotaka kuona nduguye ama hata rafikize wakifanikiwa. Jawabu akaniahidi analo. Dawa za kienyeji zikakorogwa, zengine zikapondwa, zikachanganywa na kufukizwa ndani.

Potelea mbali!! Rajabu haikupita siku mbili alikuwa amefunga virago na kutokomea. Aende akakasirikie huko!! Ndoa yangu ikasitirika. Mume wangu Baraka akaendea kunipenda zaidi na furaha ikaongezeka. Kweli Dr. Mugwenu ndio mbabe wa mababe. Jaribu uone!!

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]

admin

admin