[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=WZiTPtXa4ks[/embedyt] Kuna wanaojua mapenzi na walio sheheni ushenzi. Kuna waliobarikiwa na ndimi tamu na waliopewa ndimu haramu. Wanaojua kutongoza ni wengi, ila Mike Mbuvi kutoka makadara aliwapiku. Kijana anajua kuvaa. Anajua mpaka kupika. Anajua kuongea na kutema mistari,ila pesa ndio hatoi. Alikwishazoea kuwahadaa wasichana na kuwaahidi bahari, mchanga na nyuni wote ulimwenguni mwishowe wakajikuta …
[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=WZiTPtXa4ks[/embedyt]
Kuna wanaojua mapenzi na walio sheheni ushenzi. Kuna waliobarikiwa na ndimi tamu na waliopewa ndimu haramu. Wanaojua kutongoza ni wengi, ila Mike Mbuvi kutoka makadara aliwapiku. Kijana anajua kuvaa. Anajua mpaka kupika. Anajua kuongea na kutema mistari,ila pesa ndio hatoi. Alikwishazoea kuwahadaa wasichana na kuwaahidi bahari, mchanga na nyuni wote ulimwenguni mwishowe wakajikuta wamegawa alichotaka kugawiwa Mike na kuambulia patupu. Ulimi umesheheni maneno matamu lakini pesa kutoa kwake ni haramu. Hanunulii mtu mjazo wa simu, hapeani chipsi kuku wala maharagwe ya nazi kibandani. Kwanza usipokuwa macho msichana utajikuta ukimlipia hadi kodi ya nyumba na kumuendea bidhaa dukani. Ni mkora kupindukia.
Ivy Madoba alipokutana na Mike na kuongea naye akahisi angetaka wajuane zaidi. Ila tu alipomtaja tu jina kwa rafikiye Monica, ambaye amekwisha pitiwa na Mike kitambo, akamuonya kuhusu tabia zake zilizooza hadi kutoa mabuu wachafu. Ivy akaamua kufanya utafiti zaidi. Akapata habari zaidi kutoka kwa wasichana wengine waliohadaiwa na Mike. Kuna mwenye alimuamini hadi akaanza kumuita “my hubby” akidhani amefika mwisho, ila safari kumbe imeng’oa nanga na kilele kinajulikana. Mwengine alipokumbuka alivyomnunulia hadi simu ndipo wapate kuendeleza maongezi matamu akatoa machozi, kwani mwishowe alitemwa kama uji moto. Ivy akajua hapa amekutana na mcheza kamare hodari na hatari, asipokuwa macho, kitumbua kitaingia mchanga.
Akaamua afanye mambo yake tofauti na wengine, ndipo atafanikiwa kumteka na kufungua mfuko wake pesa zitiririke. Akawaendea Mugwenu Doctors aliosikia sifa zao kutoka kwa Shangazi yake. Hakusita kuwaeleza shida zake. Mugwenu Doctors wanajulikana kwa umahiri wao na kazi yao safi inayosifiwa kote kote. Siri zako hazitatobolewa, uhusiano wako nao hautafichuliwa kwa umati wowote popote. Wakamfanyia matibabu ya kienyeji na kumpa huduma murwa.
Siku io hiyo, Mike alimtafuta na kumpeleka katika mkahawa wa kutajika. Akampa pesa na kumnunulia kila aina ya zawadi. Akajua limetendeka jambo. Asiyetoa anamwaga. Wanaomjua Mike wakashangaa na kuduwaa kwani hawajawahi kumuona akiwa na hamaki ya kumpendeza msichana yeyote. Mpaka anamnunulia runinga?? Maajabu!! Siri ni Mugwenu Doctors, na hakushindwa kuwatangazia wengine nao wasiseme hawajui.
MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.
He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams.
For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]