• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=PfzX8cM60dU[/embedyt] Mti huo si mwingine bali ni mwinula,mvumbula au wengine wanauita mvumbasi. Mti huu kama kuna jini ana kusumbua kwa kukuletea ukorofi wa kukuminya minya mwili au kichwa kuumwa basi ukichukua tu majani yake ukayapikicha na kuyaogea basi huyo jini anatulia mwenyewe Mti huu unapowekwa katika nyungu unawasogeza karibu majini wote wa bara na …

[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=PfzX8cM60dU[/embedyt]

Mti huo si mwingine bali ni mwinula,mvumbula au wengine wanauita mvumbasi. Mti huu kama kuna jini ana kusumbua kwa kukuletea ukorofi wa kukuminya minya mwili au kichwa kuumwa basi ukichukua tu majani yake ukayapikicha na kuyaogea basi huyo jini anatulia mwenyewe

Mti huu unapowekwa katika nyungu unawasogeza karibu majini wote wa bara na wale wa pwani. Ukichukua mti huu ukatembea nao mfukoni basi ukienda sehemu kuomba chochote inakua ni nadra sana kukataliwa kwa kuwa ndani ya huo mti kuna jini ambaye anausimamia na kuupa nguvu.

Kwa mtu alietawaliwa na MAJINI wa kiarabu anashauriwa anapokogea majani ya mti huo achanganye na maji ya marashi rose ili kuwaweka sawa majini wake na kuwafanya wasigombane au kumuumi, licha ya mti huo kutoa nuksi pia una nguvu ya kupambana na uchawi.

Kama unasumbuliwa na majini, mashetani, wachawi na unahitaji kupatiwa mti huu, wasiliana na sisi mugwenu doctors .Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

admin

admin