“Hupendi Wanawake, Hupendi Pombe. Unapenda Nini??” Baba Auliza Uraibu wa Mwanawe Baada ya Kuhofia Asiwe Shoga Huko Mtwapa

  • CONTACT US:   |   |  
  •  

    [embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=PfzX8cM60dU[/embedyt]
    Mzee Khalifa alibarikiwa na vijana watatu na wasichana wawili. Kati ya hao, Omari ndiye tabia zake ziliwashangaza wajomba na shangazi kote. Hakuwa na Uraibu wowote. Hakupenda kutazama runinga, kuogelea, masomo, Wanawake ama hata pombe. Ndugu zake wawili wadogo wameshakwisha oa na kutoka katika boma, ilhali dadake pia ameshachumbiwa. Yeye tu, na miaka yake thelathini na sita, hana shughuli kabisa kutafta mchumba wala nyumba. Babake anamtazama anachoka na yeye. Ni kama maisha kwake hayahusu mahusiano wala utangamano. Ni aamke, anywe chai, atafute gazeti na kujifungia chumbani siku nzima. Utampata ametekwa na habari na tamthilia zilizomo hana hata mda wa kusalimu mtu.

    Aliwaacha wote mdomo wazi siku walipomletea msichana mrembo nyumbani waone kama ataonyesha hamaki ya kujuana naye. Mjombake ndiye aliyeleta ushauri huo, angalau apate mtu wa kushiriki naye na kumtoa nyumbani. Maajabu!! Baada ya salamu, kila mtu alitoka nje na kuwaacha Omari na Malkia verandani. Walirudi na kumpata Malkia peke yake akitazama runinga, Omari kajifungia chumbani na gazeti lake hana habari na mtu. Walibaki wameduwaa. Kwani huyu mtu hana hisia hata kiduchu?? Jaribio la pili lilichukua mkondo uo huo. Dadake alipanga na rafikiye aje amchangamshe. Zubeda hakuwa na haya. Bahati mbaya alipojaribu kumpa busu Omari, alisukumwa na kuanguka chini. Alipojaribu kuongea akazabwa makofi mawili ya kilo na kumwacha chini akilia na kujuta kukubali kumkaribia huyu mtu punguani asiye na joto la mwili.
    Babake akaingiwa na mshtuko, kwani Omari alikuwa kifungua mimba. Badala ya kuweka mfano mzuri wa kuiga, ameharibu. Ametia doa na kukataa kuoa. Hatimaye mkutano ukapangwa kuamua kama watamfukuza nyumbani ama wamtoe kafara apotelee mbali. Bahati nzuri wakapata fununu kuwa kuna daktari wa kienyeji mashuhuri aitwae Dr. Mugwenu mwenye uwezo wa kumtoa nta masikioni na kumpa ujasiri wa kutangamana na wanawake. Daktari Mugwenu akafanya mambo yake na kumtibu ipasavyo. Lengo lao likatimia,kwani Zubeda alipokuja kutembea tena, Omari alichangamka na kumpeleka baharini Pirates Beach kuogelea. Hapo ndipo mioyo yao ikapata afueni na kuvuta pumzi wakijua hatimaye upofu wa moyo umeisha.
    “Ahsante sana Mugwenu Doctors kwa kunitibia mwanangu. Kumbe hakua shoga. Afadhali mumenihakikishia hilo. Pongezi na hongera kwa kazi nzuri” Mzee Khalifa alisema akitabasamu.

    READ ALSO  Man uses an unknown trick to stop wife from cheating

    MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

    He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: mugwenudoctors@gmail.com

       
       
       
       
       
     
    4.8
    Based on 19 reviews
    powered by Google
    robert dede
    07:23 28 Sep 24
    Good job. You helped me get my wife back.
    Margaret Wanjala
    12:58 26 Sep 24
    I am deeply appreciative of the time and resources dedicated to my case.thanks so much mugwenu doctors
    Humphry Kigika
    05:47 23 Sep 24
    Thank you Doctor, you helped me a lot, my wife came back with the children
    mlikanews
    05:32 23 Sep 24
    He helped me alot.i get back my stollen properties.thanks alot mugwenu doctors.
    Valerie Mulaa
    18:39 22 Sep 24
    Thanks for helping me get back my husband. i love him so much. he gives me money nowadays. asante sanaaa
    Silverstain Mukagwa
    07:36 22 Sep 24
    Hello Mugwenu Doctor, your spell worked like I really wanted. The ceremony I did was a great moment! I felt an incredible energy enveloping me when I did it! I can’t believe this really happened after all the bad experiences I had with spell casters. Thank you very much Mugwenu Doctors!” – Lorene vuguza
    Cynthia Mutindi
    06:48 22 Sep 24
    Thanks to Mugweno Doctors.You helped my father who was in ICU For 14 days without doctors finding any disease. now He is healed and healthy
    Chief Chief
    13:29 21 Sep 24
    I had given up on ever getting help, until someone recommended me to Daktari. Thank you for being there for people like us
    Nicholas Kavita
    09:51 20 Sep 24
    I had a great experience with Mugwenu Doctors. They are very professional and helpful. Their services were effective and delivered with care. Highly recommend to anyone seeking traditional healing methods. Five stars for their dedication!"
    js_loader

    SUGGESTED FOR YOU

    Wisdom Spell!! See How You Improve The Performance  Of Your Children Protection Spell!! Here Is How To Protect Yourself From Evil Eye & Witchcraft Mugwenu Spell!! See What You Should Do To Win A Land Case Promotion Spell!! From Being A Cleaner To Being A CEO Of A Big Company, John Tells His Story How I Brought Peace Back Into My Relationship With a Small Gesture

    READ OUR PRIVACY POLICY