• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Kumbe mapenzi bila wivu si mapenzi ni ushenzi?? Swali ni wivu huongeza ama hupunguza?? Unafanya iwe rahisi kuleta mafarakano ama inaonyesha dhahiri kuwa unapendwa na kuthaminiwa.?? Hapo ndipo ndoa Kati ya Philomena na Isaac ilikuwa ikiyumbayumba, kwani Philomena alikuwa na wivu kupindukia. Asikupate umesimama na mumewe njiani. Mnaongea nini? Kwa nini? Unafanya nini na mume …

Kumbe mapenzi bila wivu si mapenzi ni ushenzi?? Swali ni wivu huongeza ama hupunguza?? Unafanya iwe rahisi kuleta mafarakano ama inaonyesha dhahiri kuwa unapendwa na kuthaminiwa.?? Hapo ndipo ndoa Kati ya Philomena na Isaac ilikuwa ikiyumbayumba, kwani Philomena alikuwa na wivu kupindukia. Asikupate umesimama na mumewe njiani. Mnaongea nini? Kwa nini? Unafanya nini na mume wangu? Huna wako? Huwezi tafuta? Huna aibu? Si uvae vizuri uonekane? Ukivaa vizuri unajaribu kumuonea kijicho na kumtomgoza mumewe amuache.

Alikwishakosana na dadake mdogo baada kumtembelea kwa majuma mawili. Kipindi hicho tu kifupi waligombana takriban kila siku kwa sababu hakutaka dadake amsalimie bwanake. Wakagombana mpaka wakapigana siku moja baada ya dadake kupika chapati mchana na kumwekea shemeji yake kadhaa ale jioni akitoka kazini. Bahati mbaya bwanake Philomena akasifu mapishi yake dadake. Hapo ndipo vita vikaanza. Anataka kuniharibia ndoa sio?? Wakavutana na kurushiana cheche mpaka usiku. Ikabidi dadake aondoke.

Si mara moja tu, wageni wowote wa kike hawaruhusiwi kuongea na bwanake wakifika kwake. Philomena hataki mchezo. Salamu zako nipe mimi. Simu ya Isaac ikilia hafai kutoka nje aongee. Ujumbe ukiingia amesharuka kuuliza ni nani. Akichelewa kurudi ni kesi. Akienda kutazama mpira lazima ahakikishe haendi peke yake, aandamane na rafiki zake kama watano hivi. Mwishowe shauku zake zikaleta kilio. Akapata fununu kuwa kuna mwanamke anayeuza mboga karibu na kituo cha basi mjini Taita ambaye anaenda na mumewe. Akajishuhudia kwa macho yake. Akamfumania na kulia. Hatimaye akaamua kuenda kwa daktari wa kienyeji aitwae Dr mugwenu na kumfunga asitoke nje ya ndoa. Bahati mbaya mara ya kwanza akashikwa. Akakwama akiwa na mama mboga. Ikabidi atoe fidia na kunusurika.

Wakahama kwa kutotaka fedheha zaidi. Isaac akakoma kuhanya kwani matibabu ya Dr Mugwenu yatafanya kazi tena na akikwama mara ya pili itabidi afilisike kabisa kujikwamua. Akabadili mienendo na kuwa mwaminifu. Philomena akapunguza wivu kiasi, ila haukuisha kabisa. Lakini alipata afueni kujua Dr Mugwenu amemsaidia kubeba mzigo wa wasiwasi wa bwanake kutoka nje ya ndoa.

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]

admin

admin