• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=PfzX8cM60dU[/embedyt] Kuna wanaokubali kukataliwa kama mtindo wa maisha na kutafuta njia mbadala za kujifurahisha na kusonga mbele, halafu kuna kina Khadija ambao wakikataliwa wanakataa. Kulingana na Khadija, hana makosa. Shepu anayo. Sura, nzuri ajabu. Anametameta akipita. Huko nyuma kunatingika na kutingishika utadhani kuna msukosuko. Lakini hakuamini wakati Omari aliamua kumuacha na kuendea msichana wa …

[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=PfzX8cM60dU[/embedyt] Kuna wanaokubali kukataliwa kama mtindo wa maisha na kutafuta njia mbadala za kujifurahisha na kusonga mbele, halafu kuna kina Khadija ambao wakikataliwa wanakataa. Kulingana na Khadija, hana makosa. Shepu anayo. Sura, nzuri ajabu. Anametameta akipita. Huko nyuma kunatingika na kutingishika utadhani kuna msukosuko. Lakini hakuamini wakati Omari aliamua kumuacha na kuendea msichana wa Makadara aitwae Zainabu. Eti anampenda. Kumliko?? Haiwezekani. Khadija hakumficha. Akaamua kumkwamilia kama nzi kwenye kidonda. Kama ni tamu ilambe. Na kama utamu haujaisha ilambe tena na tena. Kwani?? Atafanyaje na kashapenda? Kwani Omari haoni jinsi alivyobarikiwa?? Anataka nini zaidi ya mapenzi ya dhati?? Anataka yafike forty??

“Usiniambie hunitaki. Zainabu ni mwewe, atakumalizia vifaranga ulivyo navyo mfukoni ukiishiwa aende zake. Usione akitabasamu ukadhani ana maono mazuri kwako. Usiwe mbu udhani anashangilia kwa kukupigia makofi. Hayo makofi si makofi ya kilo, bali ni makofi ya kilio” alimsuta na kumshawishi abaki naye. Lakini Omari alikuwa ameshaamua. Akamwambia achukue virago vyake aende baada ya siku tatu. Siku tatu tu atamleta Zainabu alale mahali alikuwa aking’orota na kupata usingizi mtamu.
Siku tatu ziliisha lakini Khadija alikuwa mumo humo. Visababu vingi mno anavyo vya kumzuia kuondoka. Mara leso zake hazijatimia. Mara Kuna pesa anazisubiri kutoka kwa chama. Mara choo ni chafu. Mara anataka kuwapa mkono wa buriani marafiki wake wote kabla aondoke. Mpaka akaenda kumrudishia rafiki yake Fatma mbuzi ya kukuna nazi ndipo alipopewa siri ya kukaa na mume. Fatma siku zote alikuwa akijigamba kuwa yeye hawezi letewa mke wa pili wala kulazimishwa kuzaa kama panya. Fatma akamnong’onezea rafikiye kuhusu mtu aitwae Dr mugwenu. Akamshauri amtafute haraka upesi ili abatilishe uamuzi wa Omari na kusalia, kwani Dr mugwenu ana matibabu ya kienyeji yanayofanya kazi haraka sana.

Kumbe alikuwa anasema ukweli. Daktari Mugwenu ni hodari kupindukia. Dawa zake zinafanya kazi. Omari alirudi kutoka kazi na kumpata Khadija akiandaa chakula. Hakumuuliza kuhusu safari yake ya kuhama wala kuhusu lolote lile, alimkumbatia na kusifu harufu tamu inayotokea jikoni. Mambo haluahalua. Malumbano yameisha. Dr Mugwenu ameleta uwiano. Zainabu akabaki katika mstari wa kungoja siku bahari itakauka ndio apate nafasi.

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]

admin

admin