• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Hamisi alijikuta akiuma meno baada ya zaidi ya mbuzi tisa Kupotea alipozipeleka malishoni pembeni mwa Kijiji Cha chang'ombe. Hili nalo hakulitarajia kamwe. Baada ya kung'ang'ana kuwalisha na kuwanywesha maji kila siku mabaradhuli wamemtegea alipokwenda kupata chamcha na kuhepa nao. Hasira zilimpanda kidogo akufuru mungu. Alifoka mpaka mate yakamuisha mdomoni. Ndugu yake akamuunga kuzitafuta kote lakini …

Hamisi alijikuta akiuma meno baada ya zaidi ya mbuzi tisa Kupotea alipozipeleka malishoni pembeni mwa Kijiji Cha chang’ombe. Hili nalo hakulitarajia kamwe. Baada ya kung’ang’ana kuwalisha na kuwanywesha maji kila siku mabaradhuli wamemtegea alipokwenda kupata chamcha na kuhepa nao. Hasira zilimpanda kidogo akufuru mungu. Alifoka mpaka mate yakamuisha mdomoni. Ndugu yake akamuunga kuzitafuta kote lakini wapi. Walirudi alasiri jioni bila hata kwato kuonekana. Akaenda kwa chifu na kutipoti kisa hicho kilichowaacha wengi wameduwaa kwani wizi kama huo haujawahi kushuhudiwa hivi karibuni.

“Wallahi wamenimaliza. Mipango yangu yote huu mwaka imeporomoka. Nilidhani nimenusurika korona sina wasiwasi tena, kumbe mashaka hayajaisha. Nimeruka matope nikakanyaga mavi. Sasa karo ya Salim nitaitoa wapi? Si afadhali wangechukua wawili waniachie beberu wote wawili!! Popote walipo wajue nimewalaani” alizidi kuteta. Majirani walimponza lakini hakuna Mwenye alikuwa na uwezo wa kifedha. Majonzi ameshayapata, sasa kilichobaki ni kufuta machozi na kujikaza kisabuni. Akahangaika kutafuta msaada, akapiga simu hadi kwa watu waliokuwa wamekosana. Msiba hauna mwenyewe, kila mtu hufedheheka unapomkumba. Akapewa ushauri na mjombake aliyekuwa akiishi upande wa magharibi mwa Kenya amtafute daktari wa kienyeji mahiri apate usaidizi. Jina lake ni Dr. Mugwenu.

Hakuwa na budi ila kumpa nafasi. Daktari Mugwenu akatumia uwezo na ubunifu wake mahiri na kumpata aliyetoweka na mbuzi. Kumbe walikuwa vijana wawili kutoka familia ya Mzee Kibindo. Magharibi hio hio siku walionekana wakifukuzana na majitu yasiyoonekana, wakiwa uchi wa mnyama. Walikuwa wakipiga nduru na kulalamika kuumwa na viungo na kuona mazingaumbwe. Mbuzi zikarudishwa. Fidia kali ikalipwa ndio warudishiwe akili timamu. Wakaomba msamaha na kuapa hawatawahi kuibia mtu wala kusumbua yeyote kijijini Chang’ombe.
Hamisi akamshukuru Dr. Mugwenu na kuahidi kuwanong’onezea wote wenye mahitaji kama yake kuitafuta mali iliyopotea ama kuwakamata waliohusika.

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams.

For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]

admin

admin