• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Fatuma hakuwa na dosari yoyote ya kimwili wala kiakili. Aliumbwa akaumbika. Akitabasamu utabaki umezubaa jinsi meno meupe yalipangika kinywani. Ila tu, hakupata kumaliza hata shule ya upili mashaka yakaanza. Kwanza alibakwa na mjombake akapata uja uzito. Akaacha shule. Mjomba akaomba msamaha ukoo akasamehewa. Fatuma akajifungua mtoto kijana. Akamchukia. Alitamani afilie mbali asipate kumuona kila siku. …

Fatuma hakuwa na dosari yoyote ya kimwili wala kiakili. Aliumbwa akaumbika. Akitabasamu utabaki umezubaa jinsi meno meupe yalipangika kinywani. Ila tu, hakupata kumaliza hata shule ya upili mashaka yakaanza. Kwanza alibakwa na mjombake akapata uja uzito. Akaacha shule. Mjomba akaomba msamaha ukoo akasamehewa. Fatuma akajifungua mtoto kijana. Akamchukia. Alitamani afilie mbali asipate kumuona kila siku. Kila mtoto akigonjeka alikuwa anaomba kimoyomoyo Izraili amchukue usingizini. Akadhoofika na kulemaa kimawazo. Mwishowe akajikubali na kuamua kusonga na maisha. Akapata kazi Ukunda na kumwacha mtoto na mamake na kuelekea huko.

Kumbe mashaka yalikuwa hayajaisha. Akapatana na Laban na kuanza uhusiano. Kidogo kidogo, uja uzito mwingine. Laban aliposikia yaliyojiri akatoweka. Ikambidi ajikakamue yeye na rafiki zake mpaka akajifungua. Akang’ang’ana awezavyo kujikimu yeye na watoto wake wawili. Wote vijana. Akahama akaenda Msambweni kuanza upya. Laana ikahama na yeye. Akapatana na Aisha waliyesoma naye shule ya upili. Wakazoeana vizuri kabisa. Akamshawishi kuhusu uzuri wa binamu yake mtanashati. Akawafahamisha na wakaanza mahusiano tena. Kalama akamuahidi ardhi na mbingu. Bahati mbaya haijui ubaya; akapata tena uja uzito. Siku ya kujifungua alitoka hospitali akarudi Kwa nyumba na kupatwa na mshangao. Kalama alibeba kila kitu na kuhama usiku wa manane.

Mtoto anaye ni mchanga pamoja na wa pili mwenye umri wa miaka mitatu na hakuna chakula wala pa kulala. Nyumba imekuwa uwanja. Akatamani kujinyonga. Ila watoto atawaachia nani? Mamake? Tayari anahangaika na mmoja. Akatafuta usaidizi, akapewa kibarua cha vibarua vya kazi za nyumbani. Ukipatana naye jioni utadhani ni gofu: haoni mbele wala kusalimu mtu. Ako mbioni kila siku kutafuta cha jio akijua watoto wako njaa hawajatafuna kitu mchana kutwa. Mwishowe akapatana na mwalimu wake alipokuwa Ukunda na kumjuza kuhusu ufundi wa Daktari wa kienyeji aitwae Dr mugwenu. Akamshauri ampigie apate usaidizi. Akampigia na kulia shida zake. Daktari akamsikiza na kuahidi kumsaidia. Akamtibu akatibika. Akafungua nyota yake na kumuondolea laana lililokuwa likimuandama kila aendapo. Milango na madirisha yakafunguka. Akafungua macho na kufungua biashara. Ikafanya vizuri kuliko matarajio yake. Akanusurika na kumshukuru Dr mugwenu Kwa kumficha aibu na kumpatia afueni.

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams.

For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]

 

admin

admin