• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Utukutu aliokuwa nao Zubeda uliwashangaza wengi. Cheche za maneno na ukiritimba aliokuwa nao uliwashinda hadi mashoga zake. Siku mbili haziishi bila kusikia kisa kigeni kumhusu. Mara kapigana na mpita njia kisa amemwangalia vibaya, mara kamtusi mama mkongwe Kwa sababu amemrekebisha kutoka nje bila Hijabu. Wewe anza Zubeda atamaliza. Haogopi mtu wala jini mwanga. Wanaomjua akiwa …

Utukutu aliokuwa nao Zubeda uliwashangaza wengi. Cheche za maneno na ukiritimba aliokuwa nao uliwashinda hadi mashoga zake. Siku mbili haziishi bila kusikia kisa kigeni kumhusu. Mara kapigana na mpita njia kisa amemwangalia vibaya, mara kamtusi mama mkongwe Kwa sababu amemrekebisha kutoka nje bila Hijabu. Wewe anza Zubeda atamaliza. Haogopi mtu wala jini mwanga. Wanaomjua akiwa bado mchanga wanashangaa sana. Hakuwa na kiburi wala mbwembwe. Msichana mtiifu mpenda heshima. Mara ghafla tu akaanza vituko. Alipopatikana akila uroda na mjombake babake akakasirika na kumfukuza.

Mitaa ya Soko mjinga alijulikana kote. Hakuna harusi wala matanga yanayompita, aalikwe asialikwe. Akiharibu sana anahama. Makadara hakumaliza mwezi Mzee wa mtaa ameshaletewa mashtaka kalala na bwana wa wenyewe. Barsheba akafukuzwa na marungu Kwa kutapeli wamama malaki ya pesa. Akafika Kisauni akajifanya mwimbaji wa Taarabu mahiri. Mwishowe akalipwa akaimbie watu akala pesa na kutoweka. Kila mtaa ukienda utaje jina lake utaambiwa vituko tofauti alivyofanya. Hakuna aliyejishughilisha kujua Kwa nini.

Kumbe alirogwa!! Na mamake mzazi!! Alitaka nyota yake ing’ae kote akaona amtumie mwanae. Hii ilijulikana baada ya Mzee mmoja kudadisi kiundani. Hapo ndipo aliamua kumsaidia. Wakati huo Zubeda kashakuwa kahaba Casablanca Mombasa. Akaendea usaidizi wa Daktari wa kienyeji kutoka Vihiga magharibi mwa Kenya. Akampata na kumtaarifu yote yaliyomo. Daktari akakubali na kuuondoa mzigo aliopachikwa mgongoni miaka mitano iliyopita. Akairudisha nyota yake. Zubeda akaacha ukahaba na kuanza biashara ya vitumbua na Kaimati. Akanusurika. Akaoleka. Akazaa. Akarudi Kwa Dr mugwenu na kumshukuru.
MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.
He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams.

For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: [email protected]

 

admin

admin