• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

  Ifahamikie kwamba majini kama jinsi walivyo viumbe wengine, hutokea kutamani kuwa kwenye mahusiano ya mke au mme wa kibinadamu, hali hii hupelekea kumtafuta ampendae na kufunga ndoa wakati mwingine bila hata kufahamu. ZIFUATAZO NI DALILI ZA MTU ALIYEOA AU KUOLEWA NA JINI Unakuta mtu kachumbia au kachumbiwa alafu baada ya muda, anasema kwamba hamtaki …

 

Ifahamikie kwamba majini kama jinsi walivyo viumbe wengine, hutokea kutamani kuwa kwenye mahusiano ya mke au mme wa kibinadamu, hali hii hupelekea kumtafuta ampendae na kufunga ndoa wakati mwingine bila hata kufahamu.
ZIFUATAZO NI DALILI ZA MTU ALIYEOA AU KUOLEWA NA JINI

Unakuta mtu kachumbia au kachumbiwa alafu baada ya muda, anasema kwamba hamtaki mwenzie na hayupo tayari kuendelea na mahusiano bila kuwepo kwa sababu za msingi(Jini anayefanya haya yote huitwa Twayr  au Qarnail, kazi yake ni kupandikiza mawazo machafu  katika kichwa  cha muhusika

Kuchukiwa na ndugu, jamaa na marafiki, pia anaweza akakufanya ufanye mambo ya kuchukiza watu wengine.

Kujiona mtu mwenye nuksi, mikosi na balaa.

Kukorogeka kwa mipango yako ya kimaendeleo na kila unachopanga hushindikana hata kama ukishikwa mkono na mwisho wa siku hujiona hufai.

Kujisikia ukipata maumivu ya kichwa pindi unaposoma vitabu vitakatifu kama vile Qur’aan au Biblia.

Pindi unapotaka kufanya dua au maombi fulani, hujikuta ukiishiwa nguvu au hamu na kuishia kuhangaika kama mtu asiyejua la kufanya.

Kuwa na hali ya kutojali au kuthamini wengine, hapa unakuwa mbinafsi kupita maelezo na kujiona mwenye thamani kushinda wengine.

Endapo ikatokea ameoa au kuolewa, hupata shida kupata mtoto kwa maana yule jini hushikwa na wivu na kutotaka kabisa apate mtoto.

Kujikuta mtu mwenye hasira sana na ghadhabu bila hata sababu za msingi.

Hata ukianzisha biashara kwa mtaji mkubwa kiasi gani, utajikuta imekufa na kushindwa kuelewa hela umepeleka wapi.

Ndio maana inaweza ikatokea ukaota ndoto umezaa mtoto alafu ukaamka asubuhi ukajiona mzima wa afya wala huna mabadiliko yoyote, ila ukweli ni kwamba umezaa watoto wa kijini na wanaporudi ujinini wanakurudia na kukuletea matatizo na visa kila kukicha.
Kwa huduma zaidi wasiliana na sisi kupitia kwa namba +254740637248 ama tembelea www.mugwenudoctors.com ujivunze zaidi kuhusu tiba zetu

admin

admin