• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

  Hii ni aina ya majini ambao humvaa binaadam yoyote yule na kumsababishia madhara makubwa katika mwili wake. Majini hawa ni watoto wakijini na muda mwingine huweza kuwa ni majini wakubwa wanaokuja kwa njia ya kujifanya ni watoto. Zipo dalili za wazi ambazo hujionyesha pindi jini huyu anapokuwa ameingia katika mwili wa mwanadamu. Dalili zenyewe ni …

 

Hii ni aina ya majini ambao humvaa binaadam yoyote yule na kumsababishia madhara makubwa katika mwili wake. Majini hawa ni watoto wakijini na muda mwingine huweza kuwa ni majini wakubwa wanaokuja kwa njia ya kujifanya ni watoto.
Zipo dalili za wazi ambazo hujionyesha pindi jini huyu anapokuwa ameingia katika mwili wa mwanadamu. Dalili zenyewe ni kama vile zifuatazo :
(1). Kulia sana hasa wakati wa usiku, hapa mgonjwa hupenda kulia sana hasa wakati wa usiku, anaweza akawa mtoto au mkubwa.
(2). Mgonjwa hupenda kuchezea vitu wapendavyo kuchezea watoto kama vile kuchezea mate, kamasi, midoli na michezo mingeni mingi ya watoto. Ndio maana unaweza ukamuona kijana mkubwa kabisa lakini anapenda sana kucheza na watoto wadogo.
(3). Kuota ndoto inayojirudia hasa zile za kucheza michezo pamoja na watoto na kujikuta ukulia kwa sauti ya mtoto mdogo.
(4). Kubadilika sauti na kuwa na sauti kama ile ya mtoto mdogo.
(5). Kulalamika huku akisema apelekwe kwa mama yake hata kama mama yake mzazi akiwepo hapo.
Tiba sahihi ya kumuondosha jini huyu hutolewa na mtaalam piga namba +254740637248 au tembelea www.mugwenudoctors.com na ujivunze zaidi

admin

admin