Katika somo hili tutajifunza namna ya kusafisha na kung'arisha nyota na kupatia nguvu ya nuru Ili iwe ni yenye mvuto wa bahati na nguvu ya mvuto kwa watu wote walio kuzunguka. Kabla ya kung'arisha nyota nivyema uanze kudeal na kutoa vifungo vya kichawi au vya kijini vilivyopo mwilini ili kuuweka huru mwili juu ya dawa …
Katika somo hili tutajifunza namna ya kusafisha na kung’arisha nyota na kupatia nguvu ya nuru Ili iwe ni yenye mvuto wa bahati na nguvu ya mvuto kwa watu wote walio kuzunguka.
Kabla ya kung’arisha nyota nivyema uanze kudeal na kutoa vifungo vya kichawi au vya kijini vilivyopo mwilini ili kuuweka huru mwili juu ya dawa utazotumila za kuoshea nyota na pia za kung’arishia nyota.
Tumia dawa inayoitwa mdokteri kufungulia na kuondoa vifungo mwilini ,utatumia kuoga kutwa 3 kwa muda wa siku kadhaa…Baada ya hapo utatumia shajaratul Mariam na chumvi ya mawe kuoga kwa siku tatu mfululizo kutwa Mara moja tu!.hakikisha ukioga uoge kwa manuwizi ya kung’arisha nyota ing’ae Kama mwezi unavyong’aa…maratu!ukimaliza utatumia dawa zifuatazo kwa kuongeza mvuto mwilini kwa watu
Mwita,nyota ,kalialia,na chababila utatumia kuoga,. kasela,mpapatiko,mripu,mwita,italigula,nkanya,muharaka,na muelekele.utazitumia kwa kuchoma kwa manuwizi ya kuvuta mvuto wa nuru ya nyota yako na mvuto wa kupendwa na watu,dawa hiyo ya kuchoma changa na bint Sudan,pilipili manga,chumvi ya mawe na Ubani aina tatu yaani Ubani makka,Ubani jawi,na Ubani dhukra.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com