MAANA YA HERUFI YA JINA LAKO LA KWANZA NA HII NI NZURI KWA AMBAO HAWAJUHI NYOTA KUPITIA TAREHE NA MWEZI WA KUZALIWA

  • CONTACT US:   |   |  
  •  

     

    HERUFI A.
    Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.
    Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda,
    HERUFI B.
    Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake.
    Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,
    HERUFI C.
    Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano.
    Herufi C inawakilisha Nyota ya Mapacha,
    HERUFI D.
    Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo.
    Herufi C inawakilisha Nyota ya Kaa,
    HERUFI E.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu.
    Herufi E inawakilisha Nyota ya Simba,
    HERUFI F.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi.
    Herufi F inawakilisha Nyota ya Mashuke,
    HERUFI G.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubaliushauri wa kutoka kwa watu.
    Herufi G inawakilisha Nyota ya Mizani,

    READ ALSO  Kabete; A chief is forced to resign after he was caught having sex with someone's wife in the chief's office

    HERUFI H.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi.
    Herufi H inawakilisha Nyota ya Nge,
    HERUFI I.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma nautu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka.
    Herufi I inawakilisha Nyota ya Mshale,
    HERUFI J.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo.
    Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,
    HERUFI K.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha.
    Herufi K inawakilisha Nyota ya Ndoo,
    HERUFI L.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara.
    Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,
    HERUFI M.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika.
    Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda.
    HERUFI N.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana.
    Herufi N inawakilisha Nyota ya Ngombe.
    HERUFI O.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra,mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia.
    Herufi O inawakilisha Nyota ya Mapacha

    READ ALSO  Shameless woman caught by husband having an EXPLOSIVE Tundura with a local boda

    HERUFI P.
    Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezowa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu.
    Herufi P inawakilisha Nyota ya Kaa

    HERUFI Q
    Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha Nyota ya Simba

    HERUFI R
    Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani. Herufi R inawakilisha Nyota ya Mashuke

    HERUFI S
    Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani

    HERUFI T
    Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge

    HERUFI U
    Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mshale.

    HERUFI V
    Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mbuzi.

    HERUFI W
    Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari. Herufi W inawakilisha Nyota ya Ndoo.

    READ ALSO  A woman narrates how she had been into three marriages with no kid, this was what she did

    HERUFI X
    Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.

    HERUFI Y
    Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha Nyota ya Punda

    HERUFI Z
    Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ng’ombe.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

       
       
       
       
       
     
    Mugwenu doctors
    4.8
    Based on 19 reviews
    powered by Google
    robert dederobert dede
    07:23 28 Sep 24
    Good job. You helped me get my wife back.
    Margaret WanjalaMargaret Wanjala
    12:58 26 Sep 24
    I am deeply appreciative of the time and resources dedicated to my case.thanks so much mugwenu doctors
    Humphry KigikaHumphry Kigika
    05:47 23 Sep 24
    Thank you Doctor, you helped me a lot, my wife came back with the children
    mlikanewsmlikanews
    05:32 23 Sep 24
    He helped me alot.i get back my stollen properties.thanks alot mugwenu doctors.
    Valerie MulaaValerie Mulaa
    18:39 22 Sep 24
    Thanks for helping me get back my husband. i love him so much. he gives me money nowadays. asante sanaaa
    Silverstain MukagwaSilverstain Mukagwa
    07:36 22 Sep 24
    Hello Mugwenu Doctor, your spell worked like I really wanted. The ceremony I did was a great moment! I felt an incredible energy enveloping me when I did it! I can’t believe this really happened after all the bad experiences I had with spell casters. Thank you very much Mugwenu Doctors!” – Lorene vuguza
    Cynthia MutindiCynthia Mutindi
    06:48 22 Sep 24
    Thanks to Mugweno Doctors.You helped my father who was in ICU For 14 days without doctors finding any disease. now He is healed and healthy
    Chief ChiefChief Chief
    13:29 21 Sep 24
    I had given up on ever getting help, until someone recommended me to Daktari. Thank you for being there for people like us
    Nicholas KavitaNicholas Kavita
    09:51 20 Sep 24
    I had a great experience with Mugwenu Doctors. They are very professional and helpful. Their services were effective and delivered with care. Highly recommend to anyone seeking traditional healing methods. Five stars for their dedication!"
    js_loader

    SUGGESTED FOR YOU

    Revealed!! See The Easiest Thing To Do To Protect Your Property From Thieves Man Teaches Her Girlfriend a Life Lesson After Stealing His Car Unnoticingly as New Details Emerge Aliingiza yote nikiona, Painful Moments As Kenyan Man Reveals Shocking Details of What Happened After He Left His Wife For Work Far From Home My Best Christmas Gift Presented Was To Get Back My Lost Lover, My Wife is Back And I am Really Enjoying Man says his life was in danger but had life protection spells from this man

    READ OUR PRIVACY POLICY