Elmu ya majini ni elmu kama zilivyo ilmu nyingine ,na watu husomea kwa namna mbili; 1: kufunzwa na waliokuwa wajuzi wa maswala ya majini. 2:Au majini wenyewe wakaamuwa mumfunza mtu swala hili. Swala la majini kupanda vichwani mwa watu ,ni swala lilikuwepo toka enzi za nabii isaa,na alikuwa akiwatoa waovu ,na pia ipo hadithi …
Elmu ya majini ni elmu kama zilivyo ilmu nyingine ,na watu husomea kwa namna mbili;
1: kufunzwa na waliokuwa wajuzi wa maswala ya majini.
2:Au majini wenyewe wakaamuwa mumfunza mtu swala hili.
Swala la majini kupanda vichwani mwa watu ,ni swala lilikuwepo toka enzi za nabii isaa,na alikuwa akiwatoa waovu ,na pia ipo hadithi ya mtume inathibitisha kila mwanadamu ana jini na akasema ila jini wakw yeye amesilimu,
Swala la kupanda majini hapa ndipo pana ikhtilafu ,wengi wanasema hakuna sheria ya kijini kupanda katika mwili wa mwanadamu na huwenda ni sawa,
Ila wao kupanda kwa mwanadamu hakuwafanyi wakawa waovu kila swala ama kila jambo lina hukmu zake, swala la jini kuvunja sheria kwa kupanda kwa mwanadamu hakumfanyi moja kwa moja akawa muovu ,na pia hakuna makatazo ya wao kutopanda ,japo ukisoma hoja za wengi wa wanawachuoni hunukuu ile aya “sikuwaaumba wanadamu na majini ila waniabudu mimi” sawa ila hii si hoja ya moja kwa moja hakuna katazo hapo ,bali mungu anaonyesha msisitizo wa kufanya ibada kwa binaadamu na majini,
Kwahiyo hata kama hili nikosa kwa majini kupanda kwa wanadamu ,basi watakuwa mas uliya mbele za allah(wataulizwa) maana Allah anasema katika surat jini,Siku hiyo hatoulizwa mwanadamu dhambi ya jini ama jini dhambi ya wanadamu”
Na pia ukisoma katika surat jini ,majini wanakiri kwamba muna katika wao walo wema na muna katika wao walowaovu,sasa mtu akibisha abishe tu kwamba hakuna majini wema ,na hata akisema kama mwema kwanini anapanda ?
Muulize hata yeye yote anayoyafanya anapatia ? Kuna kiumbe kilicho sawa mia kwa mia? Na je hukumu ya mtu muovu ikoje ? Kwamba ukikosea moja na ukapatia mengi utahukumiwa mwema au muovu ? Akikupa jibu hapa utajua ufahamu wake..Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com