ANGALIA NYOTA YAKO NA SIKU YA BAHATI NA NAMBA YA BAHATI

  • CONTACT US:   |   |  
  •  

     

    Ifahamu namba siku za bahati nguo na rangi za bahati.

    Soma makala kwa makini usiniulize swali ambalo nimeshatolea ufafanuzi hapa. Jitahidi kuwa makini na kuelewa ninaposema mtu aliyezaliwa kuanzia 21 mwez wa tatu mpaka tarehe 20 mwezi wa nne namaanisha watu waliozaliwa kuanzia tarhe 20, 21, 22 na kundelea mpaka mwezi wa nne kuanzia tarehe moja,2,3……..mpaka20 zinaenda hivyo angalia tarhe na mwez wa kuzaliwa kisha angalia upo upande gani utapata majibu hujui mwez wa tarhe ya kuzaliwa nitafute.

    Yafuatayo ndio machambuzi ya nyota siku yako ya bahati, nani ushirikiane nae rangi gani ya bahati nk

    NYOTA YA SAMAKI,PIECES,HUWT.

    Watu waliozaliwa kuanzia 21 februar mpaka 20 Mach
    Inatawala siku ya alhamisi
    Tabia yake maji.
    Namba yake nzur kumi na mbili.
    Nyota ya Mapenzi yake MASHUKE.
    Rangi yake nzur zambarau.
    Siku yake mbaya jumamosi kuanzia saa nane mchana
    Siku ya bahati yake jumanne.

    Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito BLOOD STONE rangi ya zambarau .itengenezwe mchana wa alhamisi na ifukizwe ubani kandir,udi,uvumba,na tufah jini.

    NYOTA YA PUNDA

    Hapa nawazungumzia watu waliozaliwa kuanzia tarehe 21 mwezi machi mpaka tarehe 20 April
    Nyota hii inatawala siku ya jnne.
    Tabia yake moto.
    Namba nzuri moja.
    Nyota ya mapenzi yake MIZANI.
    Rangi nzur nyekundu.
    Siku yake mbaya alhamisi kuanzia saa nane mchana.

    Siku ya bahati yake ni ijumaa
    Pete ya chuma kito ruby nyekundu
    Itengenezwe siku ya jnne ifukizwe udi na uvumba

    Kwa mapenzi au ushirikiano apate mtu wa nyota ya mizani au mtu mwenye tabia ya nyota ya upepo ndo mafanikio yatapatikana haraka.

    NYOTA YA NG’OMBE, TAURUS, THAUR

    watu waliozaliwa kuanzia april 21 mpaka may 20
    Inatawala siku ya ijumaa.
    Tabia yake udongo.
    Namba nzuri mbili.
    Nyota ya Mapenzi yake NGE.
    Rangi yake nzuri kijani.
    Siku yake mbaya jumanne kuanzia saa moja asubuhi mapaka saa nane mchana.
    Siku yake ya bahati jumatano.

    READ ALSO  Worrying Details Emerge as Men Advised to keep off this Estate woman

    Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa Pete ya fedha kito EMARALD cha kijani.
    Itengenezwe siku ya ijumaa .
    Ifukizwe ubani KANDIR,UVUMBA , UDI NA AMBARI

    NYOTA YA MAPACHA ,GEMINI,JAUZAA

    watu waliozaliwa kuanzia May 21 mpaka 20 June
    Inatawala siku ya jumatano.
    Tabia yake upepo.
    Namba yake nzuri tatu.
    Nyota ya mapenzi yake MSHALE.
    Rangi yake nzuri njano mpauko.
    Siku yake mbaya ijumaa kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa saba mchana.
    Siku yake ya bahati jumatatu.

    Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito cha AGATE ya njano.
    Itengenezwe siku ya jtano.
    Ifukizwe ubani zukra na uvumba,habat rishadi,tufah jini

    NYOTA YA KAA,CANCER,SURTWAN.

    Watu waliozaliwa kuanzia June 21 mpaka July 20
    Inatawala siku ya jumatatu.
    Tabia yake maji.
    Namba yake nzuri nne.
    Nyota ya Mapenzi yake MBUZI.
    Rangi yake nzur NYEUPE.
    Siku yake mbaya jumatano kuanzia saa moja asubuhi Mpaka saa saba mchana.
    Siku yake ya bahati jumapili.

    Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito RUBY nyeupe.
    Itengenezwe siku ya jumatatu.
    Aifushe filfil abyadh,kafur,na uvumba.

    NYOTA YA SIMBA,LEO,ASAD.

    Watu waliozaliwa kuanzia July 21 mpaka August 20
    Inatawala siku ya jumapili.
    Tabia yake moto.
    Namba yake nzur tano.
    Nyota ya Mapenzi yake NDOO.
    Rangi yake nzur njano.
    Siku yake mbaya jumatatu kuanzia saa moja asubuhi mpaka saba mchana.
    Siku ya bahati yake jumatano.

    Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya dhahabu kito SADONIYX rangi ya njano.
    Aifukize ubani uvumba ,kandir,tufah jini.

    NYOTA YA MASHUKE,VIRGO,SUMBUULA.
    Watu waliozaliwa kuanzia August 21 mpaka Sept 20
    Inatawala siku ya jumatano.
    Tabia yake udongo.
    Namba yake nzur sita.
    Nyota ya Mapenzi yake SAMAKI.
    Rangi yake nzur nyaupe na nyeusi drafti.
    Siku yake mbaya jumapili.
    Siku ya bahati yake ijumaa.

    READ ALSO  Are you suffering of High Blood Pressure? Read the solution I applied

    Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito AGATE rangi mchanganyiko
    Aifukize udi na jawi.

    NYOTA YA MIZANI,LIBRA.

    Watu waliozaliwa kuanzia Sept 21 mpaka oct 20
    Inatawala siku ya ijumaa.
    Tabia yake upepo.
    Namba yake nzur saba.
    Nyota ya Mapenzi yake PUNDA.
    Rangi yake nzur bluu na kijani.
    Siku yake mbaya jumatano kuanzia saa nane mchana.
    Siku ya bahati yake jumanne.

    Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya shaba nyekundu kito opal cha kijani au bluu.
    Itengenezwe ijumaa mchana aifukize udi na uvumba na ubani dhukra.

    NYOTA YA NG’E,SCORPION,AQRAB.

    Watu waliozaliwa kuanzia octb 21 mpaka novemb 20
    Inatawala siku ya jumanne.
    Tabia yake maji.
    Namba yake nzur nane.
    Nyota ya Mapenzi yake NG’OMBE.
    Rangi yake nzur kahawia.
    Siku yake mbaya ijumaa kuanzia saa nane mchana.
    Siku ya bahati yake alhamisi.

    Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito cha rubiy rangi ya kahawia.
    Itengenezwe mchana wa jumanne.
    Ifukize udi na uvumba na ubani na tufah jini.

    NYOTA YA MSHALE,SAGITARIUS,QAUS.

    Watu waliozaliwa kuanzia november 21 mpaka Dec 20
    Inatawala siku ya alhamisi.
    Tabia yake moto.
    Namba yake nzur tisa.
    Nyota ya Mapenzi yake MAPACHA.
    Rangi yake nzur zambarau.
    Siku yake mbaya jumanne kuanzia saa nane mchana.
    Siku ya bahati yake jumamosi.

    Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito turquoise rangi ya zambarau. Itengenezwe alhamisi asubuhi na aifukize ubani kandiry uvumba na udi.

    NYOTA YA MBUZI,CAPRICORN.JADY

    Watu waliozaliwa kuanzia Dec 21 mpaka Januar 20
    Inatawala siku ya jumamosi.
    Tabia yake udongo.
    Namba yake nzur kumi.
    Nyota ya Mapenzi yake KAA.
    Rangi yake nzur nyeusi.
    Siku yake mbaya alhamisi kuanzia saa moja asubuhi hadi saa saba mchana.
    Siku ya bahati yake jumamosi pia.

    READ ALSO  A man who started a charcoal store in Uganda and now he is worth millions

    Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito GARNET cheusi .
    Itengenezwe asubuhi ya jumamosi ifukize ubani kandar udi na uvumba

    NYOTA YA NDOO,AQUARIES,DALUI.

    Watu waliozaliwa kuanzia Januar 21 mpaka feb 20
    Inatawala siku ya jumamosi.
    Tabia yake upepo.
    Namba yake nzur kumi na moja.
    Nyota ya Mapenzi yake SIMBA.
    Rangi yake nzur kijivu.
    Siku yake mbaya jumamosi pia kuanzia saa moja asubuhi Mpaka saa saba mchana.
    Siku ya bahati yake alhamisi.

    Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito AMETHIYST rangi ya kijivu
    Itengenezwe mchana wa jumamosi ifukizwe uvumba udi nadi na miatusaila.

    Faida yake ni nini mfano unahtji ktu au kuanzisha kitu na mtu angalia ck yako ya bahat hilo jambo lianze kwenye saa yako ya bahati na ikiwezekana uvae rangi zako za bahat na km n mpenzi wa pete basi pia uvae pete yako ya bahat

    Kingine usianzisha biashara au mahusiano na mtu ambaye tabia za nyota haziendani ukiona tabia ni maji basi zinaendana na udongo au maji mwenzie ukiona moto mwenzie ni upepo au moto mwenzie.

    Ufafanuzi unaweza kwenda kwa sonara zilekubwa ukaulizia hvyo vito vya thamani vlvotajwa hapo juu kisha ukanunua aina ya pete iliyotajwa kulingana na nyota yako ukanitafuta tukaitengeneza kulngana na hitaji lako au km wahtaj pete direct namba zipo chini.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

       
       
       
       
       
     
    Mugwenu doctors
    4.8
    Based on 19 reviews
    powered by Google
    robert dederobert dede
    07:23 28 Sep 24
    Good job. You helped me get my wife back.
    Margaret WanjalaMargaret Wanjala
    12:58 26 Sep 24
    I am deeply appreciative of the time and resources dedicated to my case.thanks so much mugwenu doctors
    Humphry KigikaHumphry Kigika
    05:47 23 Sep 24
    Thank you Doctor, you helped me a lot, my wife came back with the children
    mlikanewsmlikanews
    05:32 23 Sep 24
    He helped me alot.i get back my stollen properties.thanks alot mugwenu doctors.
    Valerie MulaaValerie Mulaa
    18:39 22 Sep 24
    Thanks for helping me get back my husband. i love him so much. he gives me money nowadays. asante sanaaa
    Silverstain MukagwaSilverstain Mukagwa
    07:36 22 Sep 24
    Hello Mugwenu Doctor, your spell worked like I really wanted. The ceremony I did was a great moment! I felt an incredible energy enveloping me when I did it! I can’t believe this really happened after all the bad experiences I had with spell casters. Thank you very much Mugwenu Doctors!” – Lorene vuguza
    Cynthia MutindiCynthia Mutindi
    06:48 22 Sep 24
    Thanks to Mugweno Doctors.You helped my father who was in ICU For 14 days without doctors finding any disease. now He is healed and healthy
    Chief ChiefChief Chief
    13:29 21 Sep 24
    I had given up on ever getting help, until someone recommended me to Daktari. Thank you for being there for people like us
    Nicholas KavitaNicholas Kavita
    09:51 20 Sep 24
    I had a great experience with Mugwenu Doctors. They are very professional and helpful. Their services were effective and delivered with care. Highly recommend to anyone seeking traditional healing methods. Five stars for their dedication!"
    js_loader

    SUGGESTED FOR YOU

    Man Teaches Her Girlfriend a Life Lesson After Stealing His Car Unnoticingly as New Details Emerge Screams Rent Air In Nairobi After a Catholic Priest Get Locked Inside a Car As Kenyans Erupts Drama as Thieves Eat Grass After Stealing a Wealthy Man’s Business as People Watch In Shock My Best Christmas Gift Presented Was To Get Back My Lost Lover, My Wife is Back And I am Really Enjoying My business has been making losses and didn’t know this woman was the cause. This is how I discovered it

    READ OUR PRIVACY POLICY