• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Dhana ya kula chakula ndotoni si jambo baya si jambo la ajabu japo kuna wakati huambatana na matatizo ya kisaikolojia kwa sehemu. Lakini lazima tutambue kuwa lazima uote, kuota ni lazima na kuna ndoto baadhi hazina maana yoyote zaidi ya kumbukumbu ya yaliyopita. Kuota mara kwa mara unakula ni ishara ya kutamani kufanikisha jambo fulani …

Dhana ya kula chakula ndotoni si jambo baya si jambo la ajabu japo kuna wakati huambatana na matatizo ya kisaikolojia kwa sehemu. Lakini lazima tutambue kuwa lazima uote, kuota ni lazima na kuna ndoto baadhi hazina maana yoyote zaidi ya kumbukumbu ya yaliyopita.

Kuota mara kwa mara unakula ni ishara ya kutamani kufanikisha jambo fulani katika maisha, hamu ya kuwa na mahusiano , mali ama mafanikio yoyote yale. Chakula ni uhai bila chakula uhai uko shakani hivyo kuota unakula ni dalili za kutaka kupata uhai kwenye jambo fulani.

Lakini vilevile kuota unakula hutokana na kutamani chakula fulani lakini ikatokea hukukipata lakini ufahamu wako ukahifadhi ile hamu na usiku unapolala roho yako huondoka na kwenda kutafuta chakula husika na kuiridhisha nafsi tamanifu.

Sasa turudi kwenye mada, kuota unakula nyama na kulishwa nyama ni vitu viwili tofauti.
Kuota unakula nyama tafsiri yake ni dalili ya kutaka mafanikio ama kufanikisha jambo lako kwa njia ya kudhuru ama kuumiza wengine, yaani ufanikiwe wewe lakini ukiacha wengine na madhara.

Nyama inatokana na kuondosha uhai wa kiumbe hai kingine. Hii hutokana na mawazo tuwazayo bila kujua madhara yake kiroho. Kwa mfano penzi limeingia dosari unatamani kurekebisha mambo lakini masharti ya mtaalam unatakiwa upate kuku wa kafara.
Sasa linapokuja suala la kulishwa nyama ndotoni, hiki ni kitu tofauti kabisa. Hizi ni ndoto zenye kuakisi uhalisia na ni ndoto za kichawi na unacholishwa ni nyama halisi kwa njia za kishirikina na nyama hizo si nzuri si nyama za wanyama tulao bali ni nyama za mizoga ya Kenge, Nyani, Mbweha, Fisi, Konokono hata Panya nk.

Sio nyama nzuri kwakuwa zina madawa ya kudhuru kiroho na hushibisha na hata kuvimbiza mwili. Hujaza tumbo kabisa na kukufanya ushindwe kula chochote na tafsiri yake ni moja tu kukufunga usifanikiwe tena kwenye lolote, kwamba ukishakula na kushiba huwezi kula tena.

Namna bora ya kutatua tatizo hili ni kitunguu saumu na ndimu. Kabla ya kulala hakikisha unalamba ndimu au kutafuna kipande cha kitunguu saumu ama vyote kwa pamoja kisha piga..Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

admin

admin