• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Utabiri unathibitisha kwamba Nyota yako ina uwezo mkubwa wa kukufafanulia mengi kuhusiana na Rafiki yako ni wa aina gani, atakukusaidia vipi. Nyota vilevile zina uwezo wa kukushauri namna ya kupanua uwigo katika shughuli zako za kijamii. NAMNA YA KUJUA NANI RAFIKI YAKO NA ATAKUSAIDIA VIPI? 1. Kama mtu ana Nyota kama yako • Basi huyo …

Utabiri unathibitisha kwamba Nyota yako ina uwezo mkubwa wa kukufafanulia mengi kuhusiana na Rafiki yako ni wa aina gani, atakukusaidia vipi. Nyota vilevile zina uwezo wa kukushauri namna ya kupanua uwigo katika shughuli zako za kijamii.

NAMNA YA KUJUA NANI RAFIKI YAKO NA ATAKUSAIDIA VIPI?
1. Kama mtu ana Nyota kama yako
• Basi huyo mnafanana tabia zenu kwa hiyo unahitaji kumvumilia na kumstahamilia.
2. Mtu mwenye Nyota Moja (1) Mbele yako;
• Huyo atakusaidia katika kuleta ufanisi katika maisha yako.
• Akiwa Nyota moja Nyuma yako, huyo ndio ambaye atakuelewa na kukufariji unapokwama kimaisha.
3. Mtu aliye Nyota Mbili (2)mbele yako:
• Ni kama Kaka au Dada yako.
• Akiwa Nyota mbili Nyuma yako, huyu ndiye Rafiki mzuri lakini anaweza kuwa siyo     msiri wako.
4. Mtu aliye Nyota Tatu (3) mbele yako
• Uyu anaashiria upinzani, lakini vilevile yuko tayari kupambana kwa nguvu zote kwa niaba yako.
• Akiwa Nyota tatu Nyuma yako, huyu atakusaidia kwa hali na mali kufanikisha malengo yako.
5. Mtu aliye Nyota Nne (4) Mbele yako au nyota nne nyuma yako
• Huyu atakupa mwongozo na ushauri mzuri wa Maisha.
6. Mtu aliye Nyota Tano (5) mbele yako
• Huyu yupo tayari kukusaidia kupata unalolitaka.
• Akiwa Nyota tano Nyuma yako, yuko tayari kukusaidia kwa pesa na mali.
7. Mtu aliye Nyota Sita (6) mbele yako au nyuma yako
• Huyu ni kinyume cha Nyota yako au unayelingana nae(Opposite) ambaye Mapungufu yake ndio Nguvu zako na Udhaifu wako ndio Nguvu zake.
Umekuwa ukiota ndoto mbaya na unahitaji ufafanuzi juu ya ndoto yako? Au unahitaji kusafisha nyota yako na kupata pete ya bahati?
.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

admin

admin