• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Kama mtu ametegewa Uchawi katika chakula au maji na akala au akanywa, basi chukua majani ya Mbaazi uliofikia mwaka mmoja au zaidi pamoja na mizizi ya Mtula na Mizizi ya Mbaazi kisha changanya pamoja  chemsha vizuri. Kunywa glasi moja asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu.  Majani ya Mbaazi utayaponda na utachanganya na maji …

Kama mtu ametegewa Uchawi katika chakula au maji na akala au akanywa, basi chukua majani ya Mbaazi uliofikia mwaka mmoja au zaidi pamoja na mizizi ya Mtula na Mizizi ya Mbaazi kisha changanya pamoja  chemsha vizuri.

Kunywa glasi moja asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu.  Majani ya Mbaazi utayaponda na utachanganya na maji na kunywa glasi moja kila siku.  Tiba hii inafaa vilevile kwa mtu aliyelogwa uchawi wa zongo na tumbo likavimba.

Pia kwa Mwanamke ambaye akipata siku zake tumbo linamuuma.  Inshaallah Mwenyezi mungu atawaponyesha kwa uwezo wake..Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

admin

admin