• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Bahati ni neno lenye maana ya kufanikiwa bila kutarajia au kupata kitu kizuri bila kutarajia. Mfano unasoma kidogo lakini kufaulu kwako inakuwa ni zaidi ya wale wanaosoma kwa zaidi yako. Hiyo inaitwa bahati katika ufahamu wa masomo. AINA ZA BAHATI Bahati ya kupendwa na watu wengi lakini usinifaike nao. Ikiwa hujaolewa na ukiangalia umri umekutupa …

Bahati ni neno lenye maana ya kufanikiwa bila kutarajia au kupata kitu kizuri bila kutarajia. Mfano unasoma kidogo lakini kufaulu kwako inakuwa ni zaidi ya wale wanaosoma kwa zaidi yako. Hiyo inaitwa bahati katika ufahamu wa masomo.

AINA ZA BAHATI

Bahati ya kupendwa na watu wengi lakini usinifaike nao.

Ikiwa hujaolewa na ukiangalia umri umekutupa mkono na umekuwa ukimsubiria bwana mwenye vigezo unavyovitaka, ukaja ukafanikiwa ukampata na ukaolewa jua hiyo ni bahati

Umeshiriki shindano la bahati nasibu kama vile Tatu Mzuka au Biko na ghafla unasikia sauti ya waandaaji wa shindano hilo wakikupigia simu kuwa umeshinda hela ambayo hukutegemea katika Maisha yako, hiyo ni bahati.

Ukioa mke mwenye uelewa zaidi kama ulivokua ukimtafuta na ukaishi nae kwa uelewa kama ulivyotarajia hiyo ni Bahati.

Ukiwa njiani unatembea na hujatumia usafiri ukampata msamaria akasimamisha usafiri wake kisha akakuuliza waelekea wapi? Ukamjibu unaelekea mahala fulani kisha ukakuambia panda usafiri wake kwa nia njema na akakupeleka mpaka mahala ulipomtajia, hiyo ni BAHATI.

INAKUAJE MTU ANAKOSA BAHATI?
Ni wajibu mtu kuwa na bahati kulingana na nyota, siku alozaliwa au jina la mtu mwenyewe. ukiwa huna bahati basi jua ipo sababu ya kukufanya usiwe na bahati labda kitabia au umefanyiwa sihiri(Uchawi).

Zipo pete za bahati ambazo zina uwezo wa kukufanya uonekane na kukufanya uwe na bahati na mvuto kulingana na rangi.
Ilimu ya nyota imekua juu katika kumjulisha binadam mambo yake ambayo ni mabaya na kuyawezesha kua mazuri. Pia unaeza kuyaharibu mambo yako mazuri na kua mabaya kwa kupitia ilmu ya nyota.
Je, unahitaji kuwa miongoni mwa binadamu wenye bahati na uweze kufanikiwa zaidi katika maisha na hata kwenye michezo ya bahati nasibu na kubashiri mipira?

.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

admin

admin