ZIJUE SERIKALI ZA MAJINI NA KAZI ZAO

  • CONTACT US:   |   |  
  •  

    LUCIFUGE ROFOCALE : Huyu ni Waziri Mkuu (Prime Minister)

    SATANACHIA : Amiri Jeshi Mkuu (Commander-in-Chief)
    AGALIAREPT : Kamanda wa Majeshi
    FLEURETY : Luteni Jenerali (Lieutenant-General)
    SARGATANAS : Brigedia Meja (Brigadier-Major)
    NEBIROS : Jemedari Mkuu na ni Inspekta Jenerali (Field-Marshal and Inspector-General)
    Kama jinsi ilivyoonekana hapa ya kuwa utawala wao katika Ulimwengu wao wa Kijini umekaa kijeshi lakini Utawala wao hapa Duniani sio wa Kijeshi kwani

    1. LUCIFUGE ROFOCALE :
    Ana mamlaka ambayo amepewa na LUCIFA ya kudhibiti Mali na Hazina zote za hapa Duniani. Wasaidizi wake ni Baal, Agares na Marbas.
    2. SATANACHIA
    Ana Mamlaka juu ya Wake, Wanawake, na Wasichana wote ambapo ana uwezo wa kuwafanyia kama jinsi atakavyopenda yeye. Wasaidizi wake ni Pruslas, Aamon na Barbatos.
    3. AGALIAREPT
    Ana mamlaka na Uwezo wa kugundua Siri zote zilizopo katika Mabaraza na Mahakama zote hapa Duniani. Anavumbua Siri za hali ya juu sana. Anaamuru Kikosi cha Pili cha Majini wasiopungua 3,000. Wasaidizi wake ni Buer, Gusoyn na Botis.
    4. FLEURETY
    Ana Mamlaka na Nguvu za Kufanya Kazi yeyote Usiku na anasababisha mvua ya Mawe katika sehemu yeyote ile itakayoitajika. Anaongoza na Kudhibiti Jeshi kubwa la Majini. Wasaidizi wake ni Bathsin(Bathim), Pursan na Eligor.
    5. SARGATANAS
    Ana Nguvu na Mamlaka ya kumfanya mtu yeyote asionekane, anasafirisha Mtu yeyote kwenda sehemu yeyote ile, kufungua Loki na Kufuli zote Duniani, Kuonyesha na kuweka wazi mambo yote yanayofanyika ndani ya Nyumba za Watu binafsi.
    Anafundisha mbinu zote za Uchungaji wa Wanyama, anadhibiti na Kuamuru Vikosi Kadhaa vya Majini wasiopungua 5,000 kwa kila kikosi.
    Wasaidizi wake ni Zoray, Valefar na Faraii.
    6. NEBIROS

    READ ALSO  “Naumia kwa longi naumia …kwa longi’ my husband shouted crying days after I found Trust in his pocket

    Ana uwezo wa kushurutisha Uovu kwa Mtu yeyote amtakaye.

    Ana uwezo wa Kumletea Mtu Fahari Kuu.

    Ana uwezo wa Kumuonyesha Mtu vitu Bora kama vile; Madini, Mawe, Mboga, na Wanyama.

    Ana uwezo Mkubwa wa Kutabiri vitu vitakavyotokea hapo baadae; kwani Huyu ndiye Mkuu wa Utabiri katika Ulimwengu wa Kijini.

    Anazunguka zunguka huko na huko kila sehemu kwa ajili ya Kuangalia, kuchunguza na Kukagua aina zote za Maangamizi. Wasaidizi wake ni Ayperos, Naberrs na Glassyalabolas.

    Kuna Mamilioni ya Majini wengine ambao nao wapo chini ya hao waliotajwa hapo juu na hutumika tu pale inapoonekana ya kuwa kuna Kazi ya kufanya kutoka kwa Wakuu wao, kwani wao hutumiwa na Wakuu wao kama Wafanyakazi au Watumwa.

    Kama unasumbuliwa na majini, ndoto za kutisha na maradhi yasiyoisha..Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

       
       
       
       
       
     
    Mugwenu doctors
    4.8
    Based on 19 reviews
    powered by Google
    robert dederobert dede
    07:23 28 Sep 24
    Good job. You helped me get my wife back.
    Margaret WanjalaMargaret Wanjala
    12:58 26 Sep 24
    I am deeply appreciative of the time and resources dedicated to my case.thanks so much mugwenu doctors
    Humphry KigikaHumphry Kigika
    05:47 23 Sep 24
    Thank you Doctor, you helped me a lot, my wife came back with the children
    mlikanewsmlikanews
    05:32 23 Sep 24
    He helped me alot.i get back my stollen properties.thanks alot mugwenu doctors.
    Valerie MulaaValerie Mulaa
    18:39 22 Sep 24
    Thanks for helping me get back my husband. i love him so much. he gives me money nowadays. asante sanaaa
    Silverstain MukagwaSilverstain Mukagwa
    07:36 22 Sep 24
    Hello Mugwenu Doctor, your spell worked like I really wanted. The ceremony I did was a great moment! I felt an incredible energy enveloping me when I did it! I can’t believe this really happened after all the bad experiences I had with spell casters. Thank you very much Mugwenu Doctors!” – Lorene vuguza
    Cynthia MutindiCynthia Mutindi
    06:48 22 Sep 24
    Thanks to Mugweno Doctors.You helped my father who was in ICU For 14 days without doctors finding any disease. now He is healed and healthy
    Chief ChiefChief Chief
    13:29 21 Sep 24
    I had given up on ever getting help, until someone recommended me to Daktari. Thank you for being there for people like us
    Nicholas KavitaNicholas Kavita
    09:51 20 Sep 24
    I had a great experience with Mugwenu Doctors. They are very professional and helpful. Their services were effective and delivered with care. Highly recommend to anyone seeking traditional healing methods. Five stars for their dedication!"
    js_loader

    SUGGESTED FOR YOU

    Aliingiza yote nikiona, then nikasikia bibi akisema,nimeinua,zama ndani sasa,katambe,Tears Started Flowing, Man Working as a Watchman in Nairobi Painfully Narrates The Shocking Thing That Met Him On Arriving Home Mbarara Residents Watch in Tears After 40 Crates of Alcohol Cost The Lives of 10 Students After They Were Caught Doing This “Watu hutoa Pesa Wapi” Kenyans React After a Chief in Nairobi Buys a Ksh 400Million Helicopter Despite Earning Ksh 27K a Month from Government I am not quick to take action, I consult God before I do anything. But this thing hurt my heart, Troubled Ugandan Lady Unleashes Her Wrath Screams at Mbarara After 2 Gets Stuck in a Pastors Car After Doors Failed to Open For Hours as New Details Emerge

    READ OUR PRIVACY POLICY