• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Wachawi humtumia sana paka wanapotaka kutuma jini kwa mtu. Jini akitumwa kwa mtu hutumiwa zaidi paka au panya, myama huyo huchunwa au hutolewa manyoya mkiani na kuchorwa majina ya iblis mkiani mwake kisha hutumwa kwa mtu fulani akamuingie. Basi utajikuta unaumwa umwa tu bila kupona ukipima huonekani ugonjwa wa aina yoyote na ndoto zako nyingi …

Wachawi humtumia sana paka wanapotaka kutuma jini kwa mtu. Jini akitumwa kwa mtu hutumiwa zaidi paka au panya, myama huyo huchunwa au hutolewa manyoya mkiani na kuchorwa majina ya iblis mkiani mwake kisha hutumwa kwa mtu fulani akamuingie.

Basi utajikuta unaumwa umwa tu bila kupona ukipima huonekani ugonjwa wa aina yoyote na ndoto zako nyingi zitakuwa ni kuota kushindwa kufanya jambo mfano kama vile( kuota kuachwa na gari, kufeli mtihani,kurushiwa kitu na kushindwa kudaka).

Kuota sana upo darasani au shuleni na mpo kwenye mitihani ila mwisho wa ndoto unaota wewe umefeli,ndoto hizi sio nzuri, mifupa yake wachawi huitumia kama kinga.
Wakienda kuchawia huweka mifupa ya paka mdomoni basi akienda kuchawia popote hawezi kuonekana wala kudhurika kirahisi labda akutane na nguvu inayofanana nae au zaidi.

Jihadharini sana na ndoto za paka sio nzuri na mara nyingi ukimuota paka huashiria ni mchawi huyo.

Ikiwa unaota ndoto mbaya za kutisha, piga..Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

admin

admin