• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

Unaweza ukachukulia ni hali ya kawaida kwa kuwa tangu ulipovunja ungo, umekuwa ukiziona siku zako na kuchukulia poa. Ewe Dada, Mama au Shangazi ambaye unapitia kusoma hapa unatakiwa uwe muangalifu pindi unapokuwa Mwezini(hedhi). Wapo Majini ambao kazi yao ni kuwavizia Wanawake pindi wanapokuwa kwenye siku zao na kutumia njia hiyo kuweza kuwaingia na kuifanya miili …

Unaweza ukachukulia ni hali ya kawaida kwa kuwa tangu ulipovunja ungo, umekuwa ukiziona siku zako na kuchukulia poa. Ewe Dada, Mama au Shangazi ambaye unapitia kusoma hapa unatakiwa uwe muangalifu pindi unapokuwa Mwezini(hedhi).

Wapo Majini ambao kazi yao ni kuwavizia Wanawake pindi wanapokuwa kwenye siku zao na kutumia njia hiyo kuweza kuwaingia na kuifanya miili yao kuwa mahekalu ya mateso, nuksi za kutokuolewa na kufufisha mvuto.
Zipo sehemu hatarishi ambazo kiafya hupaswi kutembelea pindi unapokuwa kwenye siku zako. Sehemu hizo ni kama vile Baharini, Ziwani, Mitoni na hata kuwa na mizunguko mingi njiani.

Majini hawa hupenda damu ya hedhi inayotoka na huitumia kuinywa na hujipaka kwenye miili yao. Kitendo hicho hupelekea muhusika kutokwa na damu nyingi na kupata hedhi isiyokoma yaani mfululizo hata akipumzika basi inakuwa ni siku chache ukilinganisha na zile za kwenye mzunguko.

Pia husababisha kuumwa na kichwa, tumbo la kukata, vichomi, maumivu makali ya mgongo, chango, kiuno kuuma sana na miguu kufa ganzi. Kama Mwanamke unapaswa uwe makini na uchukue tahadhari sana pindi unapokuwa kwenye siku zako za mzunguko.

Kinga ya kujizuia usipatwe na Jini huyu pindi ukiwa Period, unatakiwa kupendelea kupaka mafuta yaliyochanganywa na Thom, Mvuje au Altiti. Kwa ushauri tiba au ukiwa umeathirika na tatizo hili wasiliana na sis..Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

admin

admin