Habari zenu wapenzi wasomaji wa Blogu Nambari moja ya masuala ya Tiba asili na Kisunnah Afrika mashariki na kati, tumekuwa tukipokea maoni na mirejesho chanya kutoka kwenu na huduma ambazo mmekuwa mkipatiwa na wataalamu wetu. Tutakuwa wchoyo wa fadhila kama tusipotoa shukrani za dhati kwenu. Siku ya leo tuliweza kupata Ujumbe wa simu kutoka kwa …
Habari zenu wapenzi wasomaji wa Blogu Nambari moja ya masuala ya Tiba asili na Kisunnah Afrika mashariki na kati, tumekuwa tukipokea maoni na mirejesho chanya kutoka kwenu na huduma ambazo mmekuwa mkipatiwa na wataalamu wetu.
Tutakuwa wchoyo wa fadhila kama tusipotoa shukrani za dhati kwenu. Siku ya leo tuliweza kupata Ujumbe wa simu kutoka kwa Maalim Nguvumali kuhusiana na tiba za kufukuza majini mwilini.
Maalim Nguvumali ameeleza kwamba kuna haina nyingi majini yanayosumbua wanadamu wa jinsia zote mbili, wanaume kwa wanawake.
Akaongeza kuwa wapo wale ambao unaweza ukawaondoa kwa kutumia madawa, visomo vya dua, kufukuzwa, kuchomwa moto na yapo Majini mengine sugu mpaka watumiwe majini wenzao ndio watolewe kwenye mwili wa binadamu.
MAHITAJI YA KUONDOA JINI MWILINI
Chukua maji safi weka Altiti, Marashi Jabali na Zafarani, omba Mungu wako akuondolee kila baya mwilini mwako kisha oga, Rudia hivyo kwa siku tatu.
Kisha changanya altiti, kibiriti upele, kafuri maiti, udi karaha na ndimu ya unga ponda ziwe unga kisha uzigawe mara mbili moja changanya na mafuta ujipake na nyengine ujifukishe na moto siku saba. Utaona Mabadiliko
Inshallah Mungu awajalie kila mwenye tatizo liweze kumuondokea. Kama una swali au unahitaji muongozo kuhusiana na tiba za kuondoa majini mwilini wasiliana kwa simu au ukuje kwa office yetu..Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com