• Kenya, Vihiga, Majengo.
  • Mon – Fri: 8:30 am – 5:00 pm.

Ready to take the next step?

Fill out this simple form and we’ll call you right back.

  Chukua mjafari wa unga Hina ya unga Magadi ya kupikia mlenda Machicha ya Nazi yasiyokamuliwa(kuna Nazi kisha changanya na Dawa hizo) Kisha kamulia ndimu mpaka uone Dawa yako imekuwa uji uji au unaweza usitumie ndimu chukua marashi rose korogea mpaka uone Dawa imekuwa ujiuji Dawa hii inatumika usku tu Chukua kitambaa cheupe Kitandike chini …

 

Chukua mjafari wa unga

Hina ya unga

Magadi ya kupikia mlenda

Machicha ya Nazi yasiyokamuliwa(kuna Nazi kisha changanya na Dawa hizo)

Kisha kamulia ndimu mpaka uone Dawa yako imekuwa uji uji au unaweza usitumie ndimu chukua marashi rose korogea mpaka uone Dawa imekuwa ujiuji

Dawa hii inatumika usku tu

Chukua kitambaa cheupe

Kitandike chini ilihali upo uchi

Chukua Dawa yako jisugue na ile Dawa kama unajiscrub jisugue mwili mzima uchafu ule uangukie pale kwenye kitambaa

Ukimaliza uchafu ukusanye vizuri kisha chukua unga wa sembe changanya na ule uchafu kawatupie kuku wale(lengo LA kuku kula ni I’ll usije kuokotwa maana ukiokotwa uchafu huo unaweza kutumika vibaya na wewe ukaugua sana au kufa kabisa. Kumbuka kuwasiliana na dakaty Mugwenu kupitia +254740637248

Utafanya zoezi hili kwa muda wa wiki nzima utaona ajabu utakumbukwa na walokusahau utathaminiwa utaonekana utavutia na utapendwa(kama unajini mchafu itakuwa kinyume chake).

Mangube unapatikana maduka ya Dawa za asili ni mchungu una rangi kama njano iliyokolea kuelekea kahawia.

Nazi inapatikana magengeni au sokoni

Unga sembe madukani

Kitambaa kwa funding cherehani

Kuku wapo mitaani

Magadi madukani

Imebidi niandike hivyo maana kuna mtu ataniuliza nazi ndo nini? Inapatikana wapi? Kuku wasipokula je?

Kuku wasipokula adui yako ataviokota na kwenda kuvifanyia kazi zingine.

wasiliana nasi kwa tiba na ushauri
+254740637248
Website www.mugwenudoctors.com

admin

admin